Aliyemtapeli Ridhwani Kikwete milioni 4, atupwa jela miaka 7

Riz forodhan alikuw mnyonge sana,sema nashukuru watoto wa kishuwa pale nmewanyoosha sana......angalau wakikaa wanasema dah yule falaa alitutesa sana 😄
Vp ulikuwa forodhani pia

Ova
Hahahahaha..alikua mnyonge au mpole ? Nakumbuka forodhani nilikua nakuja kumfuata watoto wazuri au mh ..
 
Hahahahaha..alikua mnyonge au mpole ? Nakumbuka forodhani nilikua nakuja kumfuata watoto wazuri au mh ..
Nyie mlikuwa ndy mnatokeaga bunge nini!
Yah alikuwa mpole sana,sema John kisomo...alikuwa anafatwa na gari ya foreign affairs
Asmlimia kubwa ya wanafunzi pale walikuwa wanafatwa na ndinga....wakina sisi manunda tu ndy mwendo wa UDA au lift
Sema nlikuwa sikosi lift za watoto wa kishuwa,nkipanda bus labda niamue 😄

Ova
 
Huyo tapeli anabahati sana, mimi ningemfunga miaka 30 huwezi muibia kiongozi alafu tukucheke chekee. Iwe fundisho kwa matapeli wote.
 
Amemtapeli Naibu Waziri msomi?

Huyo "dogo" ana akili sana, Ika tu hajazielekeza kwenye mambo yenye manufaa. Serikali iangalie jinsi ya kumtumia kwa mambo yenye tija. Anaweza kuwa "shishu" mzuri.
 
Ridhiwani kwanini usimsamehe huyo Ndugu kwakuwa hata wewe si mkamilifu
 
Huyu ni wa kupongezwa kana kwa kutumia simu tu ameweza kuvuta million 4 kutoka kwa fisadi Ridhiwani

Huyu mtu ana kitu extra kwenye ubongo tumtafutie wakili akatiwe rufaa, unatumaje million 4 hivihivi tu kama siyo mtu wa magendo?

Sikubaliani na hiyo hukumu, mtuhumiwa hajatendewa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…