Huyo John Kisemo ndio Kiranga nini?Nyie mlikuwa ndy mnatokeaga bunge nini!
Yah alikuwa mpole sana,sema John kisomo...alikuwa anafatwa na gari ya foreign affairs
Asmlimia kubwa ya wanafunzi pale walikuwa wanafatwa na ndinga....wakina sisi manunda tu ndy mwendo wa UDA au lift
Sema nlikuwa sikosi lift za watoto wa kishuwa,nkipanda bus labda niamue 😄
Ova