Aliyemtapeli Ridhwani Kikwete milioni 4, atupwa jela miaka 7

Huyo tapeli anabahati sana, mimi ningemfunga miaka 30 huwezi muibia kiongozi alafu tukucheke chekee. Iwe fundisho kwa matapeli wote.
Hao viongozi wako wa ccm ndio majizi namba moja yanastahili kuwa jela.

Acha kujipendekeza kwa watesi wetu jinga wewe.
 
Kumbe Kuna wakubwa wengi tu wanapigwa lakini wanakua waungwana na kutuliza boli.
Kuna mmoja alipigwa na dada poa mji kasoro bahri lakini alitulia.
 
Hahahahaha....
 
Kumbe Kuna wakubwa wengi tu wanapigwa lakini wanakua waungwana na kutuliza boli.
Kuna mmoja alipigwa na dada poa mji kasoro bahri lakini alitulia.
Na kuna tapeli mwingine alimpiga aliyekua Waziri wa ulinzi kwa sasa ni Marehemu pesa ya mchango fake wa harusi, tena yeye alijifanya ni Chongolo wakati alipokua katibu CCM! Easy come,Easy go! Wwe unavutiwa waya tu unapigwa sound na pesa unatuma faster! Pesa ukiipata kwa jasho,kutoka nayo lazima itatoka kwa jasho!!
 
Vizuri pia tungejua uhalali wa pesa hizo zilivyopatikana.
 
Kigogo chengula nayemjua mimi ashawahi kuwa diwani wetu mmlik kwa maneno ya mtaani yule mliki wa tzf pale njia panda,daah ridhiwani milioni 4 sio issue kwakwo hasa kisiasa huyo jamaa ungekubali amekuzidi ujanja tena ukampa na ajira ya kudumu mueshimiwa,ebu tafuta namna ya kukubali matokeo jamaa awe huru.
 
Kwanza kwa Riziwani kutapeliwa na mtoto wa miaka 23 ni aibu kubwa; pili hivi kweli mbunge mzima na mtoto wa rais unamfunga kijana maskini kwa kukuchukulia vi-milioni vinne?!
 
Old is gold ,Forodhani ? Dah
 
Kumbe Kuna wakubwa wengi tu wanapigwa lakini wanakua waungwana na kutuliza boli.
Kuna mmoja alipigwa na dada poa mji kasoro bahri lakini alitulia.
Daaa, yule Naibu Waziri aliibiwa bastola, SMG na kasha la madini kizembe sana na changudoa.
Ila kiukweli polisi waliupiga mwingi, iliwachukua saa moja tu kurudisha vitu vyote.
 
Alafu Dogo mwenyewe ni miaka 23 tu! huyo si kama Mwanawe tu wa kumzaa!? Amkanye tu kama mwanawe
 
Kwanza kwa Riziwani kutapeliwa na mtoto wa miaka 23 ni aibu kubwa; pili hivi kweli mbunge mzima na mtoto wa rais unamfunga kijana maskini kwa kukuchukulia vi-milioni vinne?!
Wakati kina Tapeli Mmasi miaka 60 bado wako nje wanatambaa pamoja na kudhulumu nyumba ya Mjane,pamoja na kuthibitishwa kwa ushahidi wa kinyaraka,uliofanywa na Waziri wa Aridhi ndg Jerry Silaa!!
 
Dah kumbe hakuna mjanja Tz ni swala la kuwahiana tu Mheshimiwa kakunjua nafsi . Sasa aliambiwa ni za nini mpaka na yeye anatuma?
 
Hawa wakina kibatala na mawakili wengine wamsaidie dogo miaka 7 mingi sana 😢 huyo hakimu kazingua watu wanapigwa mamilioni hata wakidakwa wanaachiwa tu
 
Ingekuwa enzi za utawala wa Magu jamaa asingefungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…