Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 308
- 654
Naam, ndio maana tunasisitizana sana:Kama huna moyo wa kuvumilia au una moyo mwepesi ni bora usioe au kuolewa au uwe single tu. Maana utaishia jela tu .
KATAA NDOA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, ndio maana tunasisitizana sana:Kama huna moyo wa kuvumilia au una moyo mwepesi ni bora usioe au kuolewa au uwe single tu. Maana utaishia jela tu .
Unawajua wanawake vinganganizi alitaka kumdhurumu nyumbaHamis alitakiwa kumuacha kwa lazima! Kumuua ni adhabu nzuri aliyompa ila vipi Hamis haoni kama yeye ndiye anayeumia kwa sasa?
Angeenda mahakamani.Unawajua wanawake vinganganizi alitaka kumdhurumu nyumba
Kajiongezea matatizo! Mali zote watachukua upande wa mwanamke kwa kisingizio cha urithi wa mjukuu wao bado tena mtoto anaenda upande wa mwanamke.Kwa kaka yangu lilitokea tatizo kama hili.
kaka yangu alikuwa anaishi chumba kingine na mkewe chumba kingine na hali chakula cha mkewe.
wakionana wala hawasalimiani kaka yangu alikuwa anakula nje waliishi hivyo muda mrefu hadi wakaja kupatana na kuanza kuheshimiana tena.
jamaa angepotezea tu kama mkewe alikataa taraka.
angepotezea hadi huyo mke ama angeondoka mwenyewa au wange patana.
kitendo cha kuuwa ni kujiongezea matatizo kwako kwa watoto na ndugu na jamaa.
Unachotakiwa kujua na kama akili yako inagoma basi ilazimishe kwamba hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume....ukilijua hili utarudi hapa chaap kuifuta comment yako.Wanaume mnachepuka sanaaa mbona sisi hatuwaui
Basi mtaishia jela!Unachotakiwa kujua na kama akili yako inagoma basi ilazimishe kwamba hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume....ukilijua hili utarudi hapa chaap kuifuta comment yako.
Sjui atakua gereza gan nataka nimwekee bili ya. Sabuni na dawa ya menno na wemmbe skuzote atakazokua gerezan akisubir kunyongwa.natumai hajutiiPole yake. Sijui atakua anajutia au anaona ni sawa tu, anajua mwenyewe.
Wafungwa huwa wanawekewa bills ya vitu?Sjui atakua gereza gan nataka nimwekee bili ya. Sabuni na dawa ya menno na wemmbe skuzote atakazokua gerezan akisubir kunyongwa.natumai hajutii
Na mtauliwa sana.....huko jela hakuna mateso hasa hasa mtu ukisha kuadopt mazingira , na kwa hukumu za kifo wanakuwaga na special treatments zao kiufupi hawafanyi kazi ngumu, na hii hukumu haitekelezeki......ephen mdogo wangu nakusihii sana uachane na ufeminist na utambue kuwa hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaumeBasi mtaishia jela!
Wafungwa huwa wanawekewa bills ya vitu?
Kiuhalisia mwenye haki ya hizo mali ni mume na bado yupo hai na ndiye atakaye amua.Kajiongezea matatizo! Mali zote watachukua upande wa mwanamke kwa kisingizio cha urithi wa mjukuu wao bado tena mtoto anaenda upande wa mwanamke.
Ni sawa. Lakini unamwachaje au mnaachanaje? Changamoto hapo mtu anajiuliza na kutafakari matokeo: 1. "Nikimwacha ataanzisha mchakato wa Mahakamani. Huenda ikatokea Talaka na kugawana mali. Mbona sioni mchango wake kwenye hii mali?" 2. Mtoto tuliyebahatika kumpata hali yake itakuwaje? Kuishi na mtoto ni kazi ngumu na kumpeleka kwa Babu zake sio vema huenda akanyanyasika. 3. Mbona nimepoteza muda wangu, nguvu zangu na pesa yangu nyingi kwa limwanamke hili halafu leo linaniona si lolote wala chochote; dharau na kiburi ameweka mbele na zaidi sana tena mambo ya ndani ya nyumba - siri za ndani ameyasambaza mtaani kote; sasa mm ninaonekana kama kituko? 4. Wazazi wake na Wazazi wangu wamekaa kimya kana kwamba hakuna au hawana habari na kinachoendelea....Mbona siku ya Harusi watu walijaa tele - wakala, wakanywa na kufurahi. Leo simwoni hata mmoja. Nimeachwa peke yangu na huyu mwanamke Pasua kichwa........Mimi nilichojifunza kama mtu hakutaki MUACHE!!!
Kheee, mnzehe; Wewe hujawahi kukutana au kuona wamama jeuri ndani ya ndoa. Mwanamke ukimbembeleza ujue umekula hasara jumla. Mwanamke anabembelezwa wakati wa uchumba au ukitaka kula tunda kimasihara baaas. Mkiwa ni mtu na mke; Kitendo hicho atakitumia kama ndo fimbo ya kukuchapia. Utaona baadaye akiudhika kidogo tu atanuna, ataanza vinyimbo vya gubu, atafanya vile vikazi vidogo-vidogo kwa purukushani na baada ya muda atataka (hataomba)umpe fedha ya matumizi na atakukumbusha kulipia bili ya maji, umeme, pango, ada ya shule na pale dukani kwa Mangi tunadaiwa......Katika ndoa lazima ifikia wakati mmoja hasa mume ajitoe ufahamu na kuigiza kama kwa kujifanya mjinga ili kurekebisha mambo.
Ndoa haitaki ubabe na kujiona wewe ndio mwenya haki.
Nashangaa mke umemwoa na mna mtoto unashindwaje kumbembeleza hata kwa kuigiza ili uweke mambo sawa.
Kwa uzoefu wangu Mwanamke ukimbembeleza kwa dhati kabisa lazima atabadilika na kwenda sawa.
hata kama anatoka na wanamme wengine huwa anafanya kwa kulipa kisasi cha ugomvi wenu. na linakuwa jambo la muda tu.
Kama Mume ni lazima umwoneshe mkeo kuwa unamheshimu na kumjali atakupenda ukiwa katika hali yoyote ile.
Ndoa ni idara kamili na inatakiwa kujua namna ya kuiendesha.
si anajua utambembeleza! i.e. Mume utajishusha mbele yake. Hii ni ngumu sana.Nakazia hoja. Mlikutana huko mlikokutana na kwa pamoja mkaamua kuishi pamoja kama mume na mke. Kama baadaye mambo yamegeuka au hali imebadilika ni bora mrudi mkaishi kama mlivyoishi huko nyuma kabla hamjakutana. Sio kuuana.Kwa kaka yangu lilitokea tatizo kama hili.
kaka yangu alikuwa anaishi chumba kingine na mkewe chumba kingine na hali chakula cha mkewe.
wakionana wala hawasalimiani kaka yangu alikuwa anakula nje waliishi hivyo muda mrefu hadi wakaja kupatana na kuanza kuheshimiana tena.
jamaa angepotezea tu kama mkewe alikataa taraka.
angepotezea hadi huyo mke ama angeondoka mwenyewa au wange patana.
kitendo cha kuuwa ni kujiongezea matatizo kwako kwa watoto na ndugu na jamaa.