Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

Kwa kaka yangu lilitokea tatizo kama hili.
kaka yangu alikuwa anaishi chumba kingine na mkewe chumba kingine na hali chakula cha mkewe.
wakionana wala hawasalimiani kaka yangu alikuwa anakula nje waliishi hivyo muda mrefu hadi wakaja kupatana na kuanza kuheshimiana tena.
jamaa angepotezea tu kama mkewe alikataa taraka.
angepotezea hadi huyo mke ama angeondoka mwenyewa au wange patana.
kitendo cha kuuwa ni kujiongezea matatizo kwako kwa watoto na ndugu na jamaa.
 
Kajiongezea matatizo! Mali zote watachukua upande wa mwanamke kwa kisingizio cha urithi wa mjukuu wao bado tena mtoto anaenda upande wa mwanamke.
 
Wanaume mnachepuka sanaaa mbona sisi hatuwaui
Unachotakiwa kujua na kama akili yako inagoma basi ilazimishe kwamba hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume....ukilijua hili utarudi hapa chaap kuifuta comment yako.
 
Unachotakiwa kujua na kama akili yako inagoma basi ilazimishe kwamba hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume....ukilijua hili utarudi hapa chaap kuifuta comment yako.
Basi mtaishia jela!
 
Basi mtaishia jela!
Na mtauliwa sana.....huko jela hakuna mateso hasa hasa mtu ukisha kuadopt mazingira , na kwa hukumu za kifo wanakuwaga na special treatments zao kiufupi hawafanyi kazi ngumu, na hii hukumu haitekelezeki......ephen mdogo wangu nakusihii sana uachane na ufeminist na utambue kuwa hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume
 
Ni kitendo cha hatari hata kumpiga tu mkeo.
Ninadhani ulitokea ugomvi uliopelekea kugombana na katika kugombana huko mke huenda alidondoka vibaya akafa bila mmewe kutarajia kama ilivyotokea kwa Kanumba.
ilitakiwa mme angelipoti tu kwa uongozi wa kijiji au polisi kuwa tuligombana kwa bahati mbaya mwenzangu amefariki nikiwa katika juhudi za kumpeleka Hospitali.
Kwakuogopa kulipoti Polisi jamaa akaamua kupoteza ushahidi.
Hakujua kuwa damu ya mtu inaongea muda wote.
Huna haja ya kufikia kupigana na mkeo au kuamua kumpiga.
Ripoti kwa Mshenga yeye ataendelea naye we endelea na mishe zako.
 
Kajiongezea matatizo! Mali zote watachukua upande wa mwanamke kwa kisingizio cha urithi wa mjukuu wao bado tena mtoto anaenda upande wa mwanamke.
Kiuhalisia mwenye haki ya hizo mali ni mume na bado yupo hai na ndiye atakaye amua.
 
Katika ndoa lazima ifikia wakati mmoja hasa mume ajitoe ufahamu na kuigiza kama kwa kujifanya mjinga ili kurekebisha mambo.
Ndoa haitaki ubabe na kujiona wewe ndio mwenya haki.
Nashangaa mke umemwoa na mna mtoto unashindwaje kumbembeleza hata kwa kuigiza ili uweke mambo sawa.
Kwa uzoefu wangu Mwanamke ukimbembeleza kwa dhati kabisa lazima atabadilika na kwenda sawa.
hata kama anatoka na wanamme wengine huwa anafanya kwa kulipa kisasi cha ugomvi wenu. na linakuwa jambo la muda tu.
Kama Mume ni lazima umwoneshe mkeo kuwa unamheshimu na kumjali atakupenda ukiwa katika hali yoyote ile.
Ndoa ni idara kamili na inatakiwa kujua namna ya kuiendesha.
 
Mimi nilichojifunza kama mtu hakutaki MUACHE!!!
Ni sawa. Lakini unamwachaje au mnaachanaje? Changamoto hapo mtu anajiuliza na kutafakari matokeo: 1. "Nikimwacha ataanzisha mchakato wa Mahakamani. Huenda ikatokea Talaka na kugawana mali. Mbona sioni mchango wake kwenye hii mali?" 2. Mtoto tuliyebahatika kumpata hali yake itakuwaje? Kuishi na mtoto ni kazi ngumu na kumpeleka kwa Babu zake sio vema huenda akanyanyasika. 3. Mbona nimepoteza muda wangu, nguvu zangu na pesa yangu nyingi kwa limwanamke hili halafu leo linaniona si lolote wala chochote; dharau na kiburi ameweka mbele na zaidi sana tena mambo ya ndani ya nyumba - siri za ndani ameyasambaza mtaani kote; sasa mm ninaonekana kama kituko? 4. Wazazi wake na Wazazi wangu wamekaa kimya kana kwamba hakuna au hawana habari na kinachoendelea....Mbona siku ya Harusi watu walijaa tele - wakala, wakanywa na kufurahi. Leo simwoni hata mmoja. Nimeachwa peke yangu na huyu mwanamke Pasua kichwa........
Ni katika tafakari ya namna hiyo mtu anajawa na hasira, presha inapanda mapigo ya moyo yanakwenda kasi ya 4G na mtuanashindwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Inajulikana vipi sasa na jamaa alishafukia hadi ushahidi!?, Ebu nipeni moja mbili nijifunze kupitia makosa ili nisije nikajikoroga.
 
"GUNIA 2 ZA MKAA" enyi watu acheni kuoa mnajitafutia stress za hovyo Tu mpaka mazidiwa mnaua!
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
 
Katika ndoa lazima ifikia wakati mmoja hasa mume ajitoe ufahamu na kuigiza kama kwa kujifanya mjinga ili kurekebisha mambo.
Ndoa haitaki ubabe na kujiona wewe ndio mwenya haki.
Nashangaa mke umemwoa na mna mtoto unashindwaje kumbembeleza hata kwa kuigiza ili uweke mambo sawa.
Kwa uzoefu wangu Mwanamke ukimbembeleza kwa dhati kabisa lazima atabadilika na kwenda sawa.
hata kama anatoka na wanamme wengine huwa anafanya kwa kulipa kisasi cha ugomvi wenu. na linakuwa jambo la muda tu.
Kama Mume ni lazima umwoneshe mkeo kuwa unamheshimu na kumjali atakupenda ukiwa katika hali yoyote ile.
Ndoa ni idara kamili na inatakiwa kujua namna ya kuiendesha.
Kheee, mnzehe; Wewe hujawahi kukutana au kuona wamama jeuri ndani ya ndoa. Mwanamke ukimbembeleza ujue umekula hasara jumla. Mwanamke anabembelezwa wakati wa uchumba au ukitaka kula tunda kimasihara baaas. Mkiwa ni mtu na mke; Kitendo hicho atakitumia kama ndo fimbo ya kukuchapia. Utaona baadaye akiudhika kidogo tu atanuna, ataanza vinyimbo vya gubu, atafanya vile vikazi vidogo-vidogo kwa purukushani na baada ya muda atataka (hataomba)umpe fedha ya matumizi na atakukumbusha kulipia bili ya maji, umeme, pango, ada ya shule na pale dukani kwa Mangi tunadaiwa......
na kwamba yy anajisikia vibaya anahitaji kwenda Hospitali kucheki na dokta. 😤 😤 😤 😤 😀:OkayChamping: si anajua utambembeleza! i.e. Mume utajishusha mbele yake. Hii ni ngumu sana.
Mimi nionavyo: Kwenye ndoa kila mmoja ajue wajibu na mipaka yake na kuzingatia Utaratibu ndani ya Familia au hata ktk. Jamii. Ikumbukwe kwamba Mume ni kichwa cha Familia i.e. ndo mwenyekiti, ndo kiongozi mkuu ndani ya Familia. Ndo mwenye maamuzi ya mwisho. Mara nyingi au Siku zote inaleta mtafaruku ndani ya ndoa pale mwanamke anapojaribu kujipa uongozi wa Familia au kufanya maamuzi ktk Familia i.e. anamfanyia mumewe Insubordation. Hilo ni chukizo machoni pa mume wake. Ikiwa alishawahi kuonywa juu ya tabia hiyo; hapo akibondwa asishangae. Hilo linaenda sambamba na kauli yako kwamba Ndoa ni Idara kamili .....
Kwa mntiki hiyo mume anafikia hatua ya kutumia nguvu ya dola (Kipigo) ili kudhibiti hali tete inayojitokeza ndani ya familia sawa kama Serikali inavyotumia jeshi kudhibiti hali inayohatarisha usalama isiyotakiwa.
 
Kwa kaka yangu lilitokea tatizo kama hili.
kaka yangu alikuwa anaishi chumba kingine na mkewe chumba kingine na hali chakula cha mkewe.
wakionana wala hawasalimiani kaka yangu alikuwa anakula nje waliishi hivyo muda mrefu hadi wakaja kupatana na kuanza kuheshimiana tena.
jamaa angepotezea tu kama mkewe alikataa taraka.
angepotezea hadi huyo mke ama angeondoka mwenyewa au wange patana.
kitendo cha kuuwa ni kujiongezea matatizo kwako kwa watoto na ndugu na jamaa.
Nakazia hoja. Mlikutana huko mlikokutana na kwa pamoja mkaamua kuishi pamoja kama mume na mke. Kama baadaye mambo yamegeuka au hali imebadilika ni bora mrudi mkaishi kama mlivyoishi huko nyuma kabla hamjakutana. Sio kuuana.
 
Back
Top Bottom