Aliyemtumia Rais Samia taarifa za wizi wa Mahindi ya NFRA atafutwa na Polisi

Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa kijiji cha Kwedizinga, kuhusu tuhuma ya kuibiwa mahindi hayo ambapo amesema ujumbe huo umebainika sio wa Mwenyekiti.

Amesema aliyetuma ujumbe huo kwa mujibu wa sheria ya mtandao anatafutwa, kwani ametoa tuhuma kwa viongozi kwa majina na namba zao wakati wenyewe hawafahamu lolote.

Mkuu wa wilaya ameongeza kuwa kupitia jeshi la polisi tayari mtu huyo ameanza kutafutwa, kwani mwenyekiti aliyetajwa humo amekanusha kuhusika na tukio hilo.

"Sisi kama serikali kupitia kamati ya ulinzi na usalama tayari kupitia sheria ya mtandao tunamtafuta mwenye ule waraka, ni nani na atakapokamatwa sheria itachukua mkondo wake amewachafua viongozi wa serikali", amesema Mchembe.

Mwenyekiti wa kijiji cha Kwedizinga Waziri Bakari Maleka amesema yeye hahusiki na ujumbe uliosambaa mtandaoni kwenda kwa Rais Samia bali aliyeandika ametumia jina na namba yake ya simu.

"Ujumbe huo ambao umesambaa kumueleza mama Samia mtandaoni mimi sina na siutambui, mwisho wamenitaja mimi hii ni kunichafua na kunipa taarifa ambayo sihusiki nayo", amesema Waziri.

Afisa wa NFRA Valeria Mwenda amesema, aliyesambaza ujumbe huo amesambaza baada ya kuona yapo magari makubwa yanabeba mahindi hayo bila kujua mzigo uliopo ni kwaajili ya kata zaidi ya tatu.

Mkuu wa kituo cha Polisi, Kabuku Elias Luambano amesema tayari wameshaanza ufuatiliaji kujua chanzo cha ujumbe huo kuwa umeandikwa na nani kwani amesababisha taharuki kwenye zoezi hilo.

Hivi karibuni ulionekana ujumbe mtandaoni ukimuomba Rais Samia msaada kutokana na uwepo wa wizi wa mahindi ya msaada kata ya Kwedizinga Handeni na sehemu ya ujumbe huo ilisomeka hivi;

"Tunakuomba Rais Samia Suluhu Hassan sisi wananchi wa Kwedizinga Handeni, Tanga tunahujumiwa mahindi ya msaada uliyoleta tuuziwe Sh800 kwa kilo sasa wanauziwa wafanyabiashara matajiri wanakuja kusomba na magari kwenda kuuza mijini," imesema sehemu ya ujumbe huo.

MWANANCHI
Ni kweli kulikuwa na wizi wa mahindi au haukuwepo? Naona DC anataka kuhamisha mada.
 
Kuna tume apo itazinduliwa na wageni wataalikwa kwa kumkamata mtu hewa na mwenyekiti ndo muhusika kodi zetu zinaliwa kisenge sana
 
Handeni. Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa kijiji cha Kwedizinga, kuhusu tuhuma ya kuibiwa mahindi hayo ambapo amesema ujumbe huo umebainika sio wa Mwenyekiti.

Amesema aliyetuma ujumbe huo kwa mujibu wa sheria ya mtandao anatafutwa, kwani ametoa tuhuma kwa viongozi kwa majina na namba zao wakati wenyewe hawafahamu lolote.

Mkuu wa wilaya ameongeza kuwa kupitia jeshi la polisi tayari mtu huyo ameanza kutafutwa, kwani mwenyekiti aliyetajwa humo amekanusha kuhusika na tukio hilo.

"Sisi kama serikali kupitia kamati ya ulinzi na usalama tayari kupitia sheria ya mtandao tunamtafuta mwenye ule waraka, ni nani na atakapokamatwa sheria itachukua mkondo wake amewachafua viongozi wa serikali", amesema Mchembe.

Mwenyekiti wa kijiji cha Kwedizinga Waziri Bakari Maleka amesema yeye hahusiki na ujumbe uliosambaa mtandaoni kwenda kwa Rais Samia bali aliyeandika ametumia jina na namba yake ya simu.

"Ujumbe huo ambao umesambaa kumueleza mama Samia mtandaoni mimi sina na siutambui, mwisho wamenitaja mimi hii ni kunichafua na kunipa taarifa ambayo sihusiki nayo", amesema Waziri.
Afisa wa NFRA Valeria Mwenda amesema, aliyesambaza ujumbe huo amesambaza baada ya kuona yapo magari makubwa yanabeba mahindi hayo bila kujua mzigo uliopo ni kwaajili ya kata zaidi ya tatu.
Mkuu wa kituo cha Polisi, Kabuku Elias Luambano amesema tayari wameshaanza ufuatiliaji kujua chanzo cha ujumbe huo kuwa umeandikwa na nani kwani amesababisha taharuki kwenye zoezi hilo.

Hivi karibuni ulionekana ujumbe mtandaoni ukimuomba Rais Samia msaada kutokana na uwepo wa wizi wa mahindi ya msaada kata ya Kwedizinga Handeni na sehemu ya ujumbe huo ilisomeka hivi;

"Tunakuomba Rais Samia Suluhu Hassan sisi wananchi wa Kwedizinga Handeni, Tanga tunahujumiwa mahindi ya msaada uliyoleta tuuziwe Sh800 kwa kilo sasa wanauziwa wafanyabiashara matajiri wanakuja kusomba na magari kwenda kuuza mijini," imesema sehemu ya ujumbe huo.

Mwananchi. Fikiri Tofauti.​

SOURCE MWANANCHI.

mahindi-pic.jpg
 
Hivi unamfahamu huyu maza au unaskia? Hapo hakuna kushugulikiwa!
 
Stan K.(Mwenyezi Mungu akulinde na kukupa mapumziko mema),maana wewe pekee ndio ulikua whistblower shujaa nchi hii kushuhudia, ulitumia pen yako kishujaa, bila woga na alimkamata Bull kwenye pembe zake, ulitutoka kwenye mazingira tatanishi ila kuna watanzania hadi leo tunakukumbuka,Chairman anakanusha wakati simu/namba iliyotumika ni ya kwake!!!(kama hili Lina ukweli basi ni very strange),uoga wa kizuzu imeshamwingia na hawezi kutetea analoliamini. Tanzania 🇹🇿 ubabaishaji ukome wenzetu 🇿🇲 wanakimbiza maendeleo
Cc Pascal Mayalla
 
Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa kijiji cha Kwedizinga, kuhusu tuhuma ya kuibiwa mahindi hayo ambapo amesema ujumbe huo umebainika sio wa Mwenyekiti.

Amesema aliyetuma ujumbe huo kwa mujibu wa sheria ya mtandao anatafutwa, kwani ametoa tuhuma kwa viongozi kwa majina na namba zao wakati wenyewe hawafahamu lolote.

Mkuu wa wilaya ameongeza kuwa kupitia jeshi la polisi tayari mtu huyo ameanza kutafutwa, kwani mwenyekiti aliyetajwa humo amekanusha kuhusika na tukio hilo.

"Sisi kama serikali kupitia kamati ya ulinzi na usalama tayari kupitia sheria ya mtandao tunamtafuta mwenye ule waraka, ni nani na atakapokamatwa sheria itachukua mkondo wake amewachafua viongozi wa serikali", amesema Mchembe.

Mwenyekiti wa kijiji cha Kwedizinga Waziri Bakari Maleka amesema yeye hahusiki na ujumbe uliosambaa mtandaoni kwenda kwa Rais Samia bali aliyeandika ametumia jina na namba yake ya simu.

"Ujumbe huo ambao umesambaa kumueleza mama Samia mtandaoni mimi sina na siutambui, mwisho wamenitaja mimi hii ni kunichafua na kunipa taarifa ambayo sihusiki nayo", amesema Waziri.

Afisa wa NFRA Valeria Mwenda amesema, aliyesambaza ujumbe huo amesambaza baada ya kuona yapo magari makubwa yanabeba mahindi hayo bila kujua mzigo uliopo ni kwaajili ya kata zaidi ya tatu.

Mkuu wa kituo cha Polisi, Kabuku Elias Luambano amesema tayari wameshaanza ufuatiliaji kujua chanzo cha ujumbe huo kuwa umeandikwa na nani kwani amesababisha taharuki kwenye zoezi hilo.

Hivi karibuni ulionekana ujumbe mtandaoni ukimuomba Rais Samia msaada kutokana na uwepo wa wizi wa mahindi ya msaada kata ya Kwedizinga Handeni na sehemu ya ujumbe huo ilisomeka hivi;

"Tunakuomba Rais Samia Suluhu Hassan sisi wananchi wa Kwedizinga Handeni, Tanga tunahujumiwa mahindi ya msaada uliyoleta tuuziwe Sh800 kwa kilo sasa wanauziwa wafanyabiashara matajiri wanakuja kusomba na magari kwenda kuuza mijini," imesema sehemu ya ujumbe huo.

MWANANCHI

Dc kama unasoma vizuri maoni ya hawa watanzania ni wazi utakuwa kiongozi mzuri sana wamekupa ushauri mwingi sana hapa Serikali ifanyie kazi taarifa za wananchi na sio kuwatisha wananchi, serikali inawekwa madarakani na wananchi hata nafasi uliyonayo ni kwa sababu wananchi walimchangua rais na yeye akakuteua wewe.​

Fuatilia tuhuma hizo kwa makini maana nimesoma maelezo ya huyo mtu wa NFRA anakiri magunia kupakiwa kwenye mafuso kwenda maeneo mengine ya kata za jirani ambazo hakuzitaja na kiasi kilichokwenda huko na ni mzigo wa familia gani. wananchi wengine walikuwa hawafahamu.​

Ushauri inaonekana kuna kukatika kwa mawasiliano baina ya viongozi wa vitongoji, vijiji, watendaji wa vijiji, watendaji wa kata, madiwani na mbunge wala uongozi wa Chama cha Mapinduzi ni kama hilo zoezi hamkuwashirikisha kuwaeleza kitu gani kinaendelea kupitia mkutano kama huo ulioufanya wangejulishwa kutakuwa na malori yatachukua mahindi kupeleka kata zingine za jirani hivyo wasiwe na wasiwasi laiti kama mgefanya hayo naamini hata huo wasiwasi wa wananchi usingekuwepo.​

Kwanini wasiangalie ujumbe wanamtafua mtoa ujumbe? Hawa ma DC wengi uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Most are poorer ni critical thinking
 
Dc kama unasoma vizuri maoni ya hawa watanzania ni wazi utakuwa kiongozi mzuri sana wamekupa ushauri mwingi sana hapa Serikali ifanyie kazi taarifa za wananchi na sio kuwatisha wananchi, serikali inawekwa madarakani na wananchi hata nafasi uliyonayo ni kwa sababu wananchi walimchangua rais na yeye akakuteua wewe.​

Fuatilia tuhuma hizo kwa makini maana nimesoma maelezo ya huyo mtu wa NFRA anakiri magunia kupakiwa kwenye mafuso kwenda maeneo mengine ya kata za jirani ambazo hakuzitaja na kiasi kilichokwenda huko na ni mzigo wa familia gani. wananchi wengine walikuwa hawafahamu.​

Ushauri inaonekana kuna kukatika kwa mawasiliano baina ya viongozi wa vitongoji, vijiji, watendaji wa vijiji, watendaji wa kata, madiwani na mbunge wala uongozi wa Chama cha Mapinduzi ni kama hilo zoezi hamkuwashirikisha kuwaeleza kitu gani kinaendelea kupitia mkutano kama huo ulioufanya wangejulishwa kutakuwa na malori yatachukua mahindi kupeleka kata zingine za jirani hivyo wasiwe na wasiwasi laiti kama mgefanya hayo naamini hata huo wasiwasi wa wananchi usingekuwepo.​

umeongea point kubwa sana, hapa kutakua kuna usiri kwenye zoezi na wananchi na viongozi wao hawajashirikishwa
 
alafu jeshi la polisi linataka kuwa fichua wahalifu.
ONYO:
ukiwa snitch wanakugeuza muhalifu
 
Back
Top Bottom