Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Well said. Binafsi nimejikita zaidi na 1.
 
Huenda mama anamlia timing nyoka....
anajifanya amelala ili amkabe shingo ammalize..
huyo nyoka ama zake
 
Nyoka kaingia ndani ya shuka mama akiwa amelala,haelewi kitu

swali : nyoka ni nani? maana alielala anajulikana...
 
Aliyeanza kuingia kitandani ni mwanamke na nyoka akafuata baadaye. Ila wamejifunika shuka moja ya CCM. ILA nyoka amejisahau akuingia mzima mzima ndani ya CCM. Huyu si mama kwani mama angevaa mtandio. Huyu ni mwanamke aliyeingia ndani ya CCM Kwa kufikiri wamelala. Sasa llnn
Mni inaonekana wa
 
Sasa ni mwanamke gani kama sio MAZA??
 
Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.

Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Image inaonesha mtu kalala kitandani. Amejifunika shuka ya kijana na kinaonekana kitambaa cha njano kichwani ( rangi ya CCM?). Lakini unaonekana mkia wa joka (aina ya chatu?). Image haiweki wazi iwapo labda kiwiliwili cha aliyelala ni cha joka, au joka lilijipenyeza ndani ya shuka na kulala pamoja na mtu aliyejifunika shuka la rangi ya kijani.
Bali shaka Kipanya anapeleka ujumbe fulani kwa CCM. Tuendelee kutafakari pamoja na Kipanya.
 
Hawa jamaa ni hatari saana bi.mkubwa ajiangalie saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…