Mwanamke huyo ana sura mbili.Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.
Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Moja snaonekana km binadamu / wa kike mtulivu aliyelala Ila hapohapo ni nyoka aliyeficha kichwa.
Tafakari sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke huyo ana sura mbili.Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.
Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.
Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Well said. Binafsi nimejikita zaidi na 1.ina maana 2
1.macho mlegezo ni Nyoka
meaning, hana tofauti na yule aliyepita ila watu hawajajua tu
2. macho mlegezo analala na nyoka
yani magogoni mule kuna nyoka (watu wabaya) ambao wanafanya kazi kwenye system ndio mana kikatumika kitanda kumaanisha analala nao yani wapo karibu mno
watu hao wanaweza kuwa hatari kwa macho mlegezo au wananchi
Mwana wa ngoka ni nyokaMaana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.
Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Jo punguza upuuziNgoja Bavicha waje!
Hawa jamaa wanamtafuta ubaya Bi. mkubwaMwana wa ngoka ni nyoka
Thank you for compliment mtani...!Great thinker ilu
Huenda mama anamlia timing nyoka....Shuka la kijani ni Ccm ... Kujifunika maana yake ni yumo ndani ya Ccm na mkia wa nyoka [emoji216] uliochomoza maana yake ni kwamba yeye hajui kama ana maadui ndani yake lakini sisi watu wa nje tunawaona ...
Kwa lugha nyepesi kabisa ni kwamba NDANI YA CCM PANA SHIDA
You really deserve it.. You thought it very well...!!!
Job, Labda VP labda Any CCM memberNyoka kaingia ndani ya shuka mama akiwa amelala,haelewi kitu
swali : nyoka ni nani? maana alielala anajulikana...
Sasa ni mwanamke gani kama sio MAZA??Aliyeanza kuingia kitandani ni mwanamke na nyoka akafuata baadaye. Ila wamejifunika shuka moja ya CCM. ILA nyoka amejisahau akuingia mzima mzima ndani ya CCM. Huyu si mama kwani mama angevaa mtandio. Huyu ni mwanamke aliyeingia ndani ya CCM Kwa kufikiri wamelala. Sasa llnn
Mni inaonekana wa
Kipanya: mama kuna chatu katika kabineti yako. Halahala usijemezwa!Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.
Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Image inaonesha mtu kalala kitandani. Amejifunika shuka ya kijana na kinaonekana kitambaa cha njano kichwani ( rangi ya CCM?). Lakini unaonekana mkia wa joka (aina ya chatu?). Image haiweki wazi iwapo labda kiwiliwili cha aliyelala ni cha joka, au joka lilijipenyeza ndani ya shuka na kulala pamoja na mtu aliyejifunika shuka la rangi ya kijani.Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.
Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Hawa jamaa ni hatari saana bi.mkubwa ajiangalie saanaImage inaonesha mtu kalala kitandani. Amejifunika shuka ya kijana na kinaonekana kitambaa cha njano kichwani ( rangi ya CCM?). Lakini unaonekana mkia wa joka (aina ya chatu?). Image haiweki wazi iwapo labda kiwiliwili cha aliyelala ni cha joka, au joka lilijipenyeza ndani ya shuka na kulala pamoja na mtu aliyejifunika shuka la rangi ya kijani.
Bali shaka Kipanya anapeleka ujumbe fulani kwa CCM. Tuendelee kutafakari pamoja na Kipanya.
Huyu Nyoka ni Majaliwa, Mama akiendelea kulea Nyoka ataambulia maumivu na hatimaye kifo.Mama amelala na nyoka..
Choice ya VP bado inaleta maswali..
Alishauriwa sahihi?