Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

Mbumbumbu katika ubora wao muachwe na litimu lenu maana Mo anawapa mapenzi motomoto hamuoni wala hamtaki kusikia , kila kitakachohojiwa ni utopopolo.
Mngepewa nchi hii nyie mngeshatuuza watanzania wote kwa mabeberu maana so kwa upofu huo wa akili.
Wewe unaumia nn babu kwenu hili au Simba ndio rizk
 
Kuhusu kampuni zinazojitangaza kupitia jezi, tazama hii...


Kila kitu kiko wazi, sema labda haufuatilii au umeamua kwa makusudi "kumsagia kunguni" bwana Mohamed.
Hiyo pesa ya udhamini kupitia mo extra ni sehemu ya 24.3b? Nani alipanga kiwango cha udhamini? Je, makampuni ya Azam, Jambo drinks, sayona, Afiya, nk yalishindanishwa ili kupata hiyo 250ml?
 

Mkuu, kwanza jana Mo hakwenda kwenye press kusoma ripoti ya mapato na matumizi.

Pili, kulikua na maneno mitandaoni kwamba Mo hataki kuweka ile 20B kwa sababu anaona ameshaihudumia timu na "Duniani hakuna cha bure" hivyo watakatana juu kwa juu.

Lengo la kusema kwamba hizo 24B kwa miaka minne alikua anatoa kwa mapenzi yake kuisaidia klabu lakini hiyo 20B iko palepale na anaitoa.
Tena alisema pale kabisa kwamba anaweka 20B ili kuondoa hayo maneno maneno (maana yake maneno yalikuwepo).

Sasa je, kusema hivyo ni kosa ?
Kusema hivyo kunamaanisha Simba ilikua haina chanzo kingine cha mapato ?

Leo hii tuseme kwamba GSM haisaidii Yanga pale hivi tutakua na akili kweli ?
GSM akisema alikua anatoa hizo pesa kwa sababu ya mapenzi yake Yanga litakua ni kosa ?
Akisema hivyo atakua anamaanisha Yanga ilikua haipati pesa toka Sportpesa, viingilio n.k ?
Ili kuyazungumza hayo tunahitaji kusomewa ripoti ya mapato na matumizi kwanza ?

Haya, mapato ya Simba au Yanga kwa mwaka (miaka minne iliyopita) tuseme ni roughly bilioni 3.

Hivi wewe unaweza kuendesha klabu ya Simba au Yanga msimu mzima kwa 3B ? Mtu akisema aliongezea inakua nongwa ?
3B unawezaje kusajili wachezaji wazuri, ukalipa mishahara mizuri, posho nono, wakasafiri kwa ndege msimu mzima, wakalala kwenye hoteli za maana, wakala vizuri, program za mazoezi zikaenda vizuri, ukaboresha benchi la ufundi kwa kuleta wataalam wa kila namna na mengineyo ?

Labda tusaidie wewe mkuu, huenda tatizo haliko kwa Mo na halitakuwepo kwa GSM, labda tuna shida kwenye budgeting.

Help us, utakua umesaidia soka la nchi hii.
 
Ww iko tumishi ya Muhindi,!!
 
Kuna mapungufu madogo madogo ambayo kila binadamu anayo, hilo haliwezi kuwa ndio kiini cha mjadala. Kuna wakati hata wewe unaweza kupata hasira juu ya jambo fulani na ukafanya maamuzi ukiwa na hali hiyo na yasiwe mazuri.
Lakini toka Mo awepo Simba, timu hiyo imefungwa mechi nyingi tu, imetolewa kwenye mashindano mbalimbali (ikiwamo raundi ya kwanza kenywe ligi ya mabingwa), na huyo Mo hajatoa kauli kama hizo katika matukio yote.

Je, kiongozi wa timu anapaswa kuwa anakubali defeat kirahisi ?

No, timu yoyote kubwa inapaswa kuwa na winning mentality at first place. Hii inaenda hadi kwa wachezaji kwamba tunatakiwa kupambana, vinginevyo bosi hatatuelewa, mashabiki hawatatuelewa.
Hii inaongeza morali ya mapambano.
Japokua tunaposhindwa ni lazima tukubali, maana mwisho wa siku katika mchezo sio kila siku mshindi utakua ni wewe.

Bottom line:
Mkuu, mimi na weww tunaweza kujadiliana haya mambo hata kwa siku nne mfululizo, lakini naamini sitaweza kubadili mtazamo wako juu ya Mo Dewji.
Huo mtazamo kamwe usiubadili (just be real, its your life anyways), lakini ninachokuomba ni kitu kimoja tu, judge that guy on fair grounds.
 
Kama tapeli wekeni nyie basi, kwani Simba imeanza Leo. Utopolo umaskini wa tumbo na akili unawasumbua
 
Mbona pilipili ziko shambani wewe unawashwa ukiwa mezani? Hayakuhusu haya. Kausha.
 
Dua ya kuku hiyo wewe mtopolo
 
Wanasimba hili watakuja kutueleza siku moja, coz timu haiwezi kuendelea kufanya vizuri siku zote
 
Raha sana kusoma maoni / mawazo ya watawatanzania iwe ktk siasa .uchumi au michezo
 
Kama hujui si ni vema kuuliza upate majibu kuliko kujifanya unajua wakati wewe ni mpumbavu tu!!mijitu kama nyinyi kujifanya hujuaji wakati hata kufanya biashara ya kuuza karanga ujawahi kufanya,wakati kila siku CCM inawapa chumvi na kanga mnashangilia kwa kukata mauno.
Unapoandika jambo na ulijui wakati ukweli wake unajulikana ni kuonyesha namna gani una mtindio wa ubongo
 
Hawa watu usiwaamshe uwaache hivyo hivyo , kwasababu wakiambiwa ukweli wanaanza kurusha mawe, huo utapeli wa mo wenye akili timamu tulishauona kitambo, uwezi ukawa unalia lia kila siku eti Unapata hasara kwenye timu wakati umeing'ang'ani a iyo timu utaki kuanzisha ya kwako ikupe faida ni kichekesho, kwa miaka 4 yeye amefaidika kiasi gani kwenye biashara zake kupitia mgongo wa simba? Mashabiki wao wanasema wanachotaka ni timu Kufanya vizuri je watapoanza kupoteana ndo wataanza kuhoji? Maana yanga namna wanavyojipanga uko mbele ya safari mambo yatakuwa magumu Sana kwa simba katika nyanja zote
 
Nani amekatazwa kwenda kuwekeza simba? hao unaozani wanaweza kuwekeza simba walikuwa wapi kabla mo hajawekeza? ligi kuu bara haina mdhamini nenda kaizamini wewe basi
 
Acha mambo ya ramli mzee, subiri hao yanga wajipange sio kutabiri upuuzi hapa
 
Huwezi amini wana misimu minne hawajashinda taji lolote sio ligi kuu wala FA .. baada ya kukaa kutathmini namna gani wanaweza kufanya vizuri msimu ujao, wenyewe wako bize na ishu za mabingwa wa nchi huku kila siku wakiambiwa "VIMBA MWANANCHI VIIMBAA!! [emoji23][emoji23]" ..

Siku si nyingi tutaanza kuwaona uwanja wa ndege wakipokea " magarasa" yao mapya huku wakishangilia na wakimbeba Engineer hersi [emoji23][emoji23], alafu boom ligi imeisha bingwa Simba ..

Ifike wakati sasa yanga mchomoe hiyo miiko huko nyuma, Yani huwezi amini hakuna kitu kigumu kama kubishana na shabiki wa yanga hata kama jambo lipo wazi ..

ACHA ITUUE TUMEIPENDA WENYEWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
 
Sawa wanasimba tumekubali janja janja ya Mo,tuje kwenu nyinyi vyura ambao muwekezaji wenu sio janjajanja mnamafanikio gani tangia gsm achukue umiliki wa jezi za Yanga?
 
Wasio na akili timamu utawasikia wakisema ili mradi timu yao inafanya vizuri viwanjani haya mengine hayawahusu.

Kumbe ni ujinga umewajaa kichwani na baadae huko mbele mambo yakienda mlama watashindwa kutafuta mchawi ni nani.

Wewe mwenye akili zako unaona shida iko wapi, na hao wasiokua na akili hasara ipi watakayoipata kutokana na Mo kununua hizo hisa? Siku GSM wakinunua hisa hapo utopolo i utaandamani sababi maslahi yako yatakuwa hatarini ama ndo utashangilia kwa vile utopolo imepata mwekezaji atakae waepusha na njaa?
 
Ikibadilishwa jina ikiitwa Mo FC hawa washabiki wa Simba hutawaona hapa
 

Tunataka tukupe wewe hiyo Simba usiyrkuwa tapeli, unaweka kiasi gani na mipango yako kuhusu Simba imekaaje? Ama ni wivu tu wa kike unakusumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…