Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

Basi hapo wewe geuza iwe kinyuma chake. Fanya wa yanga ndiyo wengi na ndiyo wenye hiyo sijui purchasing power ili ufurahi.
 
Wanashangaza mkuu. Yani wanataka mtu atoe mabilioni yake bila kupata faida..
 
Weweuna hisa ngapi pale simba? Unachojua ni kulalma tu halafu huna hata hisa moja.
 
Kumbe wewe zwazwa la yanga halafu unakuja kuleta mvurugo kwa wana simba? Pimbi weee.
 
Wakina Nchimbi, akina waziri junior, akina Juma Athumani, akina dilunga, mzamiru, mo, ndemla, nk ambao wanapewa nafasi uwanjani kwa kubip kama wangepewa fursa wangewazidi akina chikwende, sarpong.
Hivi nafasi mtu anapewa au anatakiwa aitafute mazoezini?.
 
Acha kudanganya watu, 40B sio uwekezaji ni haki ya matangazo ambayo hata klabu nyingine zipo katika mazungumzo na Azam.

Usijelia siku ukisikia simba kachukua zaidi ya hiyo 40B katika haki hiyo maana ni timu yenye mafanikio makubwa zaidi
uwe unasoma bata wewe .nani kasema hapo uwekezaji?

Kwa hiyo matangazo ya YANGA YANA BEI KUBWA ,KULIKO SIMBA!
 
uwe unasoma bata wewe .nani kasema hapo uwekezaji?

Kwa hiyo matangazo ya YANGA YANA BEI KUBWA ,KULIKO SIMBA!
Hapa ndio umeonyesha uboya zaidi... ulipolinganisha matangazo ya biashara na uwekezaji.

Pia kumbuka hiyo 20B sio thamani ya simba bali ni sehemu ya share za mwekezaji na wala sio kanunua timu. Majority share bado zipo kwenye 51%.
Rudi darasani kwanza.
 
Maswali

1. Hao wawekezaji wengine walikua wapi kabla ya Mo? Kwann hawakuwekeza?

2. Kama kuna pesa anatengeneza, kwann simba ilishindwa jiendesha yenyewe wakati hayupo?? Hizo pesa zilikua wapi muda huo zisionekane?
Wewe ni chizi. Simba iko tangu 1936 ingeshindwa kujiendesha ingekuwepo? Kama ana hela kwanini hakuanzisha yake? Tunachosema hapa ni win_win kati ya muwekezaji na wenye club, nothing more nothing less. Unajuwa vijana wanadhani ni dude lisilokuwa na mwenyewe, hawajui kuwa kuna watu walihangaika na kuifikisha simba hapa. Thamani ya simba ni kubwa mno inaweza kukufanya uwe hata rais wa nchi kama ukiwamunipulate mashabiki wake kuwa wanasiasa
 
Anaetukana inabidi akaweke hela zaidi ya MO dewj. Mimi nasema tu hv MO Dewj kabadilisha mpira wa Tanzania kupitia simba anastahili pongezi.
Yanga wanaumia sana kwani wamekuwa wahanga wakubwa wa uwekezaji wa Mo. Na kwa akili zao za kwenda kumbeba msomali wataendelea kuumia kwani kuna gap kubwa saaaana kati ta Utopolo na Simba. Kwenye CAF ratings Simba wako nafasi ya 12 wao wako nafasi ya 79. Poor Utopolo.
 
Na msimu ujao kama kawaida kombe hilo msimbazi
 
Kwanini hakwenda kuwekeza Ihefu? Akili huna vhata moja. Simu ina wenyewe na wenyewe sio wewe mshabiki oyaoya, wenyewe wanataka faida pia sio makombe tu.
 
Mwamedi miyayusho sana ila kulalamika sasa kama mzaramo
 
Ungejibu maswali yake ingependeza zaidi na kuonyesha kweli kuna sehemu watu wamekua kifikra na kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…