Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

Namshukuru Mungu Binti yangu amemaliza salama! Wakati wote nilishakubali matokeo.Angekuja na mimba sawa,angekuja na mtoto sawa. Lakini nashukuru amerudi kama alivyoenda.
Kukubali mtoto wa kike aende Chuoni ni kuwa tayari kupitia mateso ya kisaikology mpaka atakapomaliza.
 
Mbona we ulikuwa wavua

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
picha yake inaonesha huyu ni zaidi ya muuwaji. Amekaa kifedhuli. Huyu ni mchawi mla nyama za watu.
Amehukumiwa kwa kosa la kuua. Hizo tuhuma za Uchawi na ulaji nyama za watu, hajakutwa nazo.
 
Nilivyoona ile sehemu kuwa akaenda msikitini, nikajua tu ni mwehu kama allah na muhammadi ndomaana kuua ameona ni kawaida.
 
Sisi tusio amini katika hizo dini zenu unawezaje kutuambia kuwa kulala na MTU mzimawenzangu ni dhambi??
 



Swala la uchawi pembeni ila kama sheria imesimamiwa vizuri sioni ni vipi huyo mama yake na mwanaume anakosa japo miaka 2 jela.
 
“Baada ya kumaliza mambo yote wakati nambeba niliona ni mzito, mama aliniona akaja kunisaidia kubeba na kufungua mlango wa gari wakati tuko kwenye pilikapilika za kumweka siti ya nyuma nilimpiga kiwiko cha jicho…”

🧐🧐🧐🧐🧐🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…