Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ila ni muislamu huyo inawezakana kabisa kasingiziwa nadhani huo ni mpango maalumu wa kuwajaza waislamu magerezaniHuyo sidhani hata kama anajuta Kiranga komo.
Na Tanzania hii, Marais wote hawataki kusaini vifo. Atahenya sana huyo jela.
Mama'ke aliyemsaidia kuubeba mwili na yeye kapewa adhabu gani? Huyo mama mwanga, asiachwe bila adhabu.
Huyo itakuwa wameshirikiana na mama'ke, sema mtoto kajitowa mhanga mama'ke awachiwe, atakuwa huyo mama ana cheo kwa wachawi wenzake.
Sawa lakini ndiyo hawawanyongi wanaishia kukaa maisha tuu huko...Adhabu ya kuua ni kifo. Soma vizuri
Sasa mtu hujamuoa halafu ukichapiwa unaleta hasira za Simba? Huo si undezi huo? Waliosema hasira hasara unadhani walikuwa wajinga? Tumia hasira zako sehemu sahihi au tumia hasira zako wisely, vinginevyo ndiyo hayo ya kuharibu maisha yako yote duniani.Siwezi kusema neno ila sisi wenye hasira kali tunaelewa kitu alichofanya huyo dogo, kama sio wizi Bali ni hasira za kuchapiwa basi kuna watu wapo na wengine tupo wenye hasira kali kali kuliko Simba
Hapana hapana kifo cha mtu kabla ya wakati si sawa kabisaNdo matokeo yake wamepata stahiki zao.
Kabisa ni undezi. Mi hata mke wangu akichapwa naachana nae over. Huna haja ya kutoa maisha ya mtuSasa mtu hujamuoa halafu ukichapiwa unaleta hasira za Simba? Huo si undezi huo? Waliosema hasira hasara unadhani walikuwa wajinga? Tumia hasira zako sehemu sahihi au tumia hasira zako wisely, vinginevyo ndiyo hayo ya kuharibu maisha yako yote duniani.
Mie ndio nimechoka...wallah mental health problem is realAkaenda hadi kusali wacha wee
Basi hamfai kuwa kwenye mahusiano maana hautampata asie na mapungufu kamwe...utaishia kuua na kwenda jela. Hasira hasaraSiwezi kusema neno ila sisi wenye hasira kali tunaelewa kitu alichofanya huyo dogo, kama sio wizi Bali ni hasira za kuchapiwa basi kuna watu wapo na wengine tupo wenye hasira kali kali kuliko Simba
Ahsanteee..Watajuana wao, huyo dada badala ya kusoma yeye akawa anadanga, na huyo kijana atajijuu pia.
[emoji23][emoji23] [emoji23]
Hiyo post ni ya 2018, mauaji yametokea 2023. Kama huyo manzi ndiye, means walikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 5.
wapelelezi walikuwa wanaunganisha dots za matukio, kuanzia kwenye ukataji wa tiketi, tiketi kukutwa chumbani kwa mtuhumiwa na sms zilizokutwa kwenye simu ya mtuhumiwaHii ishu ni ya mtu wangu wa karibu. Alinielezea hii ishu huo mwaka 2019, leo naiona hapa ndiyo naikumbuka
Jinsi alivyonielezea jamaa alivyokua traced na kukamatwa inafanya uone kwamba askari wetu hawa majamaa wa "Tuma kwenye namba hii" "Mimi ni mganga" ni wanawalea makusudi