Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Itumie tuWanaJF hivi mtu anataka kukata rufaa na ana kadi ya Bibi yake ya tasaf lakini mwanzo hakuambatanisha hii kwenye appeal stage inawezekana kuiattach????au wanataka taarifa ziwe sawa na za mwanzo??muongozo wenu tafadhali
Hapana umejuaje kama awajachambua?Hawa jamaa sidhani kama leo watatoa majibu ya rufaa.eti mpaka jana walikua hawajaanza kuchambua form ipi imejazwa complete na ipi haijajazwa complete .hii huenda ikawa next week huko ndio wanaweza kutoa
Amini hivyo mkuuHapana umejuaje kama awajachambua?
Pole, hope umepata maana naona jana mmegaiwa.Kuna watu Toka wasign boom mambo bila bila
Maneno yangu umeyaamini mkuu?Hapana umejuaje kama awajachambua?
Ahaaa nimeamini kiongoziManeno yangu umeyaamini mkuu?
Tuwasamehe tu hawa bodi,nilienda pale kushughulikia issue ya dogo. Ni Taasisi inayofanya kazi kisiasa mno.Masomo yashaanza chuo na baadhi ya kozi washaanza kufanya test1..lakn heslb Bado inapiga danadana
Ya dogo hicho kipengele cha appeal verification bado hakijafunguliwa na hicho cha allocation status hakipo kabisa, yeye alifanya rufaa siku ya pili baada ya dirisha la rufaa kufunguliwa pia mara ya kwanza hakupata kabisaManeno yangu umeyaamini mkuu?
Na wewe umepata mkuu?hongera sanaTembeleeni SIPA zenu wakuu
Bado mkuu nasikiliziaNa wewe umepata mkuu?hongera sana
Nitoe shukrani za kipekee kwako mkuu kwa kunitia moyo,maana nilikua nawaza namna ya kumsomesha dogo chuo kikuu tena miaka mitano nikawa naishiwa nguvu yani.ila nashukuru leo dogo katoboa kwenye rufaakyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
Ile moment unaona rangi ya ikijani moyo unaripuka ghafla..Mdogo wangu katoboa kwenye rufaa aiseeView attachment 2431994