Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

WanaJF hivi mtu anataka kukata rufaa na ana kadi ya Bibi yake ya tasaf lakini mwanzo hakuambatanisha hii kwenye appeal stage inawezekana kuiattach????au wanataka taarifa ziwe sawa na za mwanzo??muongozo wenu tafadhali
Itumie tu
 
Hawa jamaa sidhani kama leo watatoa majibu ya rufaa.eti mpaka jana walikua hawajaanza kuchambua form ipi imejazwa complete na ipi haijajazwa complete .hii huenda ikawa next week huko ndio wanaweza kutoa
 
Hawa jamaa sidhani kama leo watatoa majibu ya rufaa.eti mpaka jana walikua hawajaanza kuchambua form ipi imejazwa complete na ipi haijajazwa complete .hii huenda ikawa next week huko ndio wanaweza kutoa
Hapana umejuaje kama awajachambua?
 

Attachments

  • Screenshot_20221127-170800_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20221127-170800_Opera Mini.jpg
    45.6 KB · Views: 16
Masomo yashaanza chuo na baadhi ya kozi washaanza kufanya test1..lakn heslb Bado inapiga danadana
Tuwasamehe tu hawa bodi,nilienda pale kushughulikia issue ya dogo. Ni Taasisi inayofanya kazi kisiasa mno.
 
Maneno yangu umeyaamini mkuu?
Ya dogo hicho kipengele cha appeal verification bado hakijafunguliwa na hicho cha allocation status hakipo kabisa, yeye alifanya rufaa siku ya pili baada ya dirisha la rufaa kufunguliwa pia mara ya kwanza hakupata kabisa
 
kyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
Nitoe shukrani za kipekee kwako mkuu kwa kunitia moyo,maana nilikua nawaza namna ya kumsomesha dogo chuo kikuu tena miaka mitano nikawa naishiwa nguvu yani.ila nashukuru leo dogo katoboa kwenye rufaa
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-204430_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20221130-204430_Opera Mini.jpg
    42.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20221130-211731_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20221130-211731_Opera Mini.jpg
    50.8 KB · Views: 18
Back
Top Bottom