Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Afate huu ushauri hakika hatojuta
Hii ngumu sana sidhani kama watalishughulikia wakati huu wakati watu wengi wamekamilisha kila kitu na bado wapo bali tete,labda ujaribu wakati wa rufaa.
 
Wamepeleka mbele hadi tarehe 04 November Ile 27 October imesogezwa
 
Una kauzembe flani hivi mzee,yani ufanye maombi then usifanye follow up mpaka uje kushtuka juzi?labda ukawaone physically vinginevyo itakua imekula kwako
 
Kuna update mpya walioambiwa tarehe 4 kuna watu wamepata ,ingieni kwenye akaunti zenu sasa mtakuta mabadiliko kama bahati ikiwa kwenu.
 
Yaani bodi ya mkopo siku hizi wanakuwekea hela wameshaipigia mahesabu wanahakikisha hubakiwi hata na 100, kuna aliyeomba mwaka jana akakosa ada akahairisha mwaka ameomba tena mwaka huu amekosa vyote kabisa
 
Last year alipewa Boom tu?
 
Kuna probability kubwa watu WA mwisho wakala 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…