fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 537
- 556
Kwenye joining instructions hawajaweka ada mkuu ,,, sijui wap nitapata ada ya chuoAngalia joining instruction yake kujua gharama za ada kisha lete tukanyie hesabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye joining instructions hawajaweka ada mkuu ,,, sijui wap nitapata ada ya chuoAngalia joining instruction yake kujua gharama za ada kisha lete tukanyie hesabu.
Chuo gani mkuuKwenye joining instructions hawajaweka ada mkuu ,,, sijui wap nitapata ada ya chuo
HELSB ndo taasisi ganiWatu had boom tushaanza kupuyangia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HELSB nn sasa.
Bado mchakato unaendelea just relax na endelea kupitia account yako mara kwa marasamahani wana JF inamaanisha nini hii???View attachment 2401677
Ada ya chuo unapata kwenye account yako ya admission, na uende kwenye fee structureKwenye joining instructions hawajaweka ada mkuu ,,, sijui wap nitapata ada ya chuo
Cheti cha kifo,Aliweka TASAF document?
Nenda makao makuu yao, vetenary kama upo DSMMkuu kesi yangu ni kuwa nilituma form og board bila kuscan form namba 2 na 5 ili niziaploaad mtandaoni .....nimekuja kushtuka Juz naangalia acc nakuta maombi hayajafika so nikascan na kutuma hizo form application imekamilika ila haijawa verifaid hapo inakuwaje ???
Cheti cha kifo kinasaidia sana kwenye application,Cheti cha kifo,
Kwahiyo kuhusu hivyo vyumba na hizo taarifa hazina effect yoyote maana mwanzo hazikuwepo???? na swali lingine hivi mtu kama alikosea jina (herufi moja) wakati wa kutuma EMS-posta(jina la HESLB form na kule EMS tofauti helufi kidogo ipoje hiyo)kuna uhakika hapoBado mchakato unaendelea just relax na endelea kupitia account yako mara kwa mara
Mi nachojua ..bodi wanaangalia online copy ...hizo hard copy ni Kwa matumizi ya dharula na ziada tuKwahiyo kuhusu hivyo vyumba na hizo taarifa hazina effect yoyote maana mwanzo hazikuwepo???? na swali lingine hivi mtu kama alikosea jina (herufi moja) wakati wa kutuma EMS-posta(jina la HESLB form na kule EMS tofauti helufi kidogo ipoje hiyo)kuna uhakika hapo
Nakazia, EMS ni proposal ya pato la serikali tu! Hakuna anaedeal na zile docsMi nachojua ..bodi wanaangalia online copy ...hizo hard copy ni Kwa matumizi ya dharula na ziada tu
Hata mimi naona upigaji tu documents za watu wote Tz walifanya application kuzipitia moja ni ngumu , online nyepesi kwa sababu computers na system zinasema kuchakata baadhi ya taarifa .Nakazia, EMS ni proposal ya pato la serikali tu! Hakuna anaedeal na zile docs
YeahHata mimi naona upigaji tu documents za watu wote Tz walifanya application kuzipitia moja ni ngumu , online nyepesi kwa sababu computers na system zinasema kuchakata baadhi ya taarifa .
Cheti cha kifo kinasaidia sana kwenye application,
Nani lenu mnaharaka sana, hebu subirini basi, mchakato unaendelea na naamini hakuna atakaeonewaNimeweka vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili mpaka sa hizi holla nakula ndoige tu
Idadi kubwa ya watu bado hawajapata mkopo, idadi iliyopata ni kidogo tu, kwa hiyo subira ni muhimu