martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], kimeumana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], kimeumana
Mbona hatujakuelewa gorokoEndeleea kuniombea hzo changamoto zitaisha soon naingia heslb kma afsa mikopo kbsa so tutawasiliana
Hawana hela!Loan board mliahidi 27/10 Ila tangu asubuhi nacheck hamjaweka
NilWadau leo hii ndio tareh 4, vip upepo unasemaje,?
Bado bila bilaWadau leo hii ndio tareh 4, vip upepo unasemaje,?
Me sidhan kama walikuwa serious kwamba tarehe 6 uhakika wanatupa, ilikuwa ni siasa tu, trust meJmn! atakae pangiwa leo aseme ili wengine tupate moyo wa imani, maana tunakata tamaa
Hamna kitu kiongozi,Nimetoka kumuangalizia mtu mmoja ninayemjua sasa hivi bado bila bila.
Karibia wote wamepataKwani kuna continuous students chuo chochote ambao wamepata mkopo tayari kwa walioomba mwaka huu?
Dah...Mbona hatujakuelewa goroko
Bodi ya mikopo wangeseDah...