Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Hawa Heslb wapo kama Wachawi tu.
Screenshot_20221104-231053_Chrome~2.jpg
 
Nimekuta tarehe 8 sioni dogo akitoboa but heselb wangese kinyama.....bora wafanye kama zamani wanarelease majina then waseme batch ya ngapi, sio unakuta tarehe nyingine haijulikani batch ya ngapi, unauliza kwa wengine kama wamepata na wao unakuta hola
 
Wanazingua kinoma ..aisee mikopo mizuri ilikuwa 2019 kurudi nyuma ..sa hv uchawi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeingia tena Asubuhi. Wameweka.
Jana nilivyoona Tar 8. Nikajua imeisha.

Leo asubuhi nikasema emu nicheki. Nikakutana na maangishi / rangi ya kijani.
Moyo ukalipuka paa.

Ni wameweka nusu ada. Inatosha kuliko kukosa kabisa.

Mungu awasaidie na wengine
 
Amiiin
 
Back
Top Bottom