DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ndoige hautakula kuwa na subraNimeweka vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili mpaka sa hizi holla nakula ndoige tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoige hautakula kuwa na subraNimeweka vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili mpaka sa hizi holla nakula ndoige tu
Yeah!Watu wengi Bado hawajapata wasubiri subra ni Ibada
Muongozo wa nini madogo wanataka pesa,Ngoja waje kukupa muongozo...
Umejuaje. Na mwaka huu wanatoa kimya. Hata list hakuna kama Zamani.Idadi kubwa ya watu bado hawajapata mkopo, idadi iliyopata ni kidogo tu, kwa hiyo subira ni muhimu
Poleni sana...Muongozo wa nini madogo wanataka pesa,
Dah niljuwa n mimi tu yatima alokosa mkopo adi sasa. 😔 nashindwa kuelewa kigezo gani wanaanglia hawa jamaa?Nimeweka vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili mpaka sa hizi holla nakula ndoige tu
Tupe konekshen tupate japo boom tuPoleni sana...
Acha mtelu mzeeh, nani kakwambia zoezi limeishaDah niljuwa n mimi tu yatima alokosa mkopo adi sasa. [emoji17] nashindwa kuelewa kigezo gani wanaanglia hawa jamaa?
1. Me yatima
2. Coz ya science tena engineering
3. Chuo cha serikali
4. Nimesoma shule za serikali.
Ila ad sasa wananiambia tar 4Nov
Itakuwa ndiyo sababuCheti cha kifo,
[emoji16]Muongozo wa nini madogo wanataka pesa,
NITChuo gani mkuu
Kwemye fee structure hamna kitu mkuu
Kwa nini usiende chuo, au upo mkoani!?Kwemye fee structure hamna kitu mkuu
UD gani?Vipi jamani mikopo ya UD imetoka?