Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

Mkuu kuwa great thinker. Usimlaumu aliyempendekeza. Mtu sahihi wa kumlaumu unamjua.
 
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungemi HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO , ANAPASWA KUTIMULIWA.

Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na Kiburi cha kishamba , asiyepaswa kupewa majukumu yoyote ya umma , hii ni kwa sababu Mtumishi wa umma anawajibika kwa umma wenyewe , anapaswa kuwa mnyenyekevu na mwenye kuwaheshimu anaowaongoza , sifa ambazo Mwigulu hana .

Ni nani aliyempendekeza huyu mtu duni mwenye mapungufu yote kabisa kuwa Waziri wa wizara nyeti ya fedha ? aliyempendekeza alilenga kushirikiana naye kwenye nini?

NATANGAZA LAANA YA MILELE KWA MTU HUYO , AMINA .
Nakubaliana nawe, huyu kibaka hafai hata kuongoza chawa na panya
 
Maisha bhana ! yaani huyu ndio wa kutudharau sisi kweli ? yetu macho .

Watu%20wanatokea%20mbali%20sana!.jpg
 
Tuna viongozi dhaifu sana. Eti phd yangu sio ya kupewa, means waliopewa ni vilaza wenye kufanya kazi kwa kubumbabumba kazi ipo kubwa.
Nafikiri alikua anajaribu kuwaambia Aliyemteua na anayesadikiwa kuwa Godfather wake, ambao wote wamepewa Udaktari wa heshima kwamba yeye ni Msomi kweli kweli.

Nchemba hana tofauti na wale waajiriwa wanaojionaga wamesoma kuliko Mabosi wao na kuanza kuwadharau hadi kudiriki kusema kampuni nzima Bila yeye isingekuwa imara. Na kujisifu kwamba yeye ndiye anawapa mbinu za mafanikio maboss wake.

Na kwa arrogance ile, sidhani zile sifa anazompatia Boss wake mwenye Udaktari wa kupewa kama ni za kweli, na siwezi shangaa in-private ukamsikia akisema Cabinet members waongelee tuu kuhusu posho zao na maombi ya Latest toy in town V6 ,na masuala ya bajeti za wizara zao na Mipango na uchumi wa Nchi wamwachie yeye.
 
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungemi HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO , ANAPASWA KUTIMULIWA.

Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na Kiburi cha kishamba , asiyepaswa kupewa majukumu yoyote ya umma , hii ni kwa sababu Mtumishi wa umma anawajibika kwa umma wenyewe , anapaswa kuwa mnyenyekevu na mwenye kuwaheshimu anaowaongoza , sifa ambazo Mwigulu hana .

Ni nani aliyempendekeza huyu mtu duni mwenye mapungufu yote kabisa kuwa Waziri wa wizara nyeti ya fedha ? aliyempendekeza alilenga kushirikiana naye kwenye nini?

NATANGAZA LAANA YA MILELE KWA MTU HUYO , AMINA .
Nadhani imeshakuwa. Sio kiongozi mzuri na nihatari kwa usalama wa uchumi.
 
Nafikiri alikua anajaribu kuwaambia Aliyemteua na anayesadikiwa kuwa Godfather wake, ambao wote wamepewa Udaktari wa heshima kwamba yeye ni Msomi kweli kweli.

Nchemba hana tofauti na wale waajiriwa wanaojionaga wamesoma kuliko Mabosi wao na kuanza kuwadharau hadi kudiriki kusema kampuni nzima Bila yeye isingekuwa imara. Na kujisifu kwamba yeye ndiye anawapa mbinu za mafanikio maboss wake.

Na kwa arrogance ile, sidhani zile sifa anazompatia Boss wake mwenye Udaktari wa kupewa kama ni za kweli, na siwezi shangaa in-private ukamsikia akisema Cabinet members waongelee tuu kuhusu posho zao na maombi ya Latest toy in town V6 ,na masuala ya bajeti za wizara zao na Mipango na uchumi wa Nchi wamwachie yeye.
Kwahiyo bila gulu uchumi umeyumba? 😅😅😅🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kama anawaambia wananchi kila apatapo nafasi kwamba yeye ni nguli wa uchumi nchini na kama hawapendi sera zake wahame...unategemea nini?!..

Na alipoona watu hawataki kuhama,akaamua kuwakumbusha kwa kupitia wawakilishi wao Bungeni kwamba wakae kimya, maswala ya uchumi wamwachie yeye..wao waongelee vitu vya kijadi,na mambo ya kisayansi ya uchumi wamwachie yeye. Ndio maana siku zote anasema jumuia na Taasisi za kimataifa zinasifia uchumi wa TZ but locals hawana capacity ya kuelewa mambo ya uchumi.

Nchemba amekua kama Baba mwenye Nyumba ambaye nyumbani kwake ni Either his way or you move out...and if you can't put up..you shut up.
 
Back
Top Bottom