Sawa sawa!Atafanyaje sasa mama wa watu ingali kuna kijogoo toka Msoga kashikilia remoti?!
Mwigulu kawekwa pale kimkakati. Kipindi JK yuko madarakani awamu ya kwanza Mwigulu alikuwa muweka hazina wa CCM na aliajiriwa BOT obviously ni chawa mtiifu na yupo heartly affiliated na Msoga family & co.