Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

Aliyempa Mwigulu uwaziri na kumwapisha kule Chato tayari alishaipata hiyo laana na sasa tumebaki na madhara ya ile dhambi.
 
Aliyempa Mwigulu uwaziri na kumwapisha kule Chato tayari alishaipata hiyo laana na sasa tumebaki na madhara ya ile dhambi.
Mwigilu hajaapishwa chato kuwa waziri wa fedha na uchumi, tingisha bichwa lako kumbukumbu zikurudie.
 
Kila siku tunawaambia,tatizo siyo mwigulu wala bashe..tatzo ni mfumo mzima.
 
Imagine hiki kichwa kibovu ndiyo kilitaka kiwe rais wa Tanzania. Sijui kingetukana wananchi matusi ya kikwao!?

Bora amebaki kuwa rais wa mawe.
 
dua la kuku
 
Uzuri wake wale jamaa waliomfikisha hapo wanaijua capacity yake na how to fix him... kwa sasa ni kete yao kwenye kile kipengele cha Rais Christian na dogo janja anatumika kama fake candidate kama BWM alivyopigwa bwege mtozeni kumuuza EL..

Uzuri wa wale jamaa wanajua kufix wakiona umeota mapembe na unataka kuwa mjanja.

Siku watanzania tutakapoacha kulalamikalalamika na kuchukua hatua ndio siku tutakayopona.. Sio kila jambo lazima apelekewe Mwenyezi Mungu, mengine ametupa mamlaka yakuyamaliza wenyewe.
 
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO, ANAPASWA KUTIMULIWA.[emoji818][emoji817]
 
LAANA iende Kwa CHAMA Cha KIJANI kilichomteua.

Walikosea sana kumpandisha Kutoka greenguard wale walinzi wa viongozi.
 
Katika bunge la 2010 - 2015 wabunge wa upinzani walipokuwa wakitoa hoja zenye mashiko mawaziri walikuwa wakiwajibu hovyo hovyo na wabunge wa CCM walishangilia majibu yale kwa kupiga piga meza kishabiki.Sasa kwa vile mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na kwa sasa bunge ni kama la chama kimoja hivyo tabia hiyo waliokuwa wanaifurahia kwa wawakilishi wa watanzania kama wao ndio sasa inawatafuna.Kwangu mimi ni burudani tosha.
 
Msoga kingdom haiwezi kumshinda Mungu , wakiendelea na huu ujinga Mungu hatowaacha

Hii mindset sio nzuri, Hii imepitwa na wakati(Soma 3 stages of social development by Auguste Comte).
Hatuwezi kuendelea kwa jambo linalotokea kwa kumwachia mungu tunapaswa kuchukua hatua.
Kumwachia mungu ni dalili ya kushindwa. Japokua kwa mazingira yetu kuchukua hatua ni ngumu kwa kua wajinga wengi, serikali kutumia polisi na vyombo vingine ila statement ya kumwachia mungu ni udhaifu, mungu ametupa wanadamu uwezo ambao tunapaswa kuutumia ili kuondoa vitu visivyo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…