Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

Ana ukaribu wa kipekee na mamlaka za uteuzi
 
Msoga kingdom haiwezi kumshinda Mungu , wakiendelea na huu ujinga Mungu hatowaacha
Mnaweza kumlaumu bila kuiangalia wizara yenyewe?Hiyo wizara ni changamoto.Rejea kauli za Msuya,Mramba,Malima,Mbilinyi na wengineo waliowahi kuwa hapo.Wakivuta harufu ya maburungutu wanawehuka.Tutafute dawa wasiwe wanawehuka.
 
Unamwachaje madelu mtu ambaye udaktari wake haupaswi kutiliwa shaka hata kidogo?
 
Nchemba anatamba ana PhD but he can't prove it in real life.
Mabei yanapanda kila uchao sijui hiyo PhD inamsaidia Nani.
Katika wabunge wa Sasa anayefaa kwa Ile nafasi Ni Dr. Kimei.
 
Tatizo la ccm ni kudhani kuwa na elimu kubwa hasa Phd ni kigezo cha mtu kupewa nafasi kubwa, kuwa na hekima au kuwa na uelewa mkubwa wa mambo.

Kuna watu ukiwasikia hata wanavyotoa hoja na kujibu hoja na maoni ya wengine, wanademostrate IQ ya mtoto wa kidato cha pili au nne.

Inasikitisha sana unamuona waziri anajibu hoja ya mbunge mwenzange as if anabishana kuhusu chenji na kondakta wa dala dala.
 
Watu husema pata pesa au cheo tuifahamu tabia yako. Mbali na hapo ni ngumu sanaa kukufahamu unatabia gani?
 
Huyu bwana anachukia Sana Hadi naanza kukuonea huruma kina mahali nae anakozea siyo kila Jambo alifafanue ndio kukoze kwake hyo inakuja otherwise
My mwigulu Kuna kitu kichwani wengi hawoni uwezo wwako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwigulu wizara imemzidi kimo , mimi nilipoona tu anaenda kusoma bajeti na Msafara wa Mapikipiki , nikajua hamna kitu yaani
 
Amina! Amina! Amina! Na iwe hivyo kama ulivyosema! Nawapenda vijana wa Kenya! Nyerere anaongoza maiti - Jomo Kenyatta's voice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…