njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mkuu, mi napenda sana uandishi wake. Sidhani kama amewasifia!Unacfia huu ujinga???ama kwel utopolo kumejaa mazumbukuku
Kwani hiyo nazi alipasulia kwenye ugoko wa shabiki wa Yanga?Yule alikuwa anapasua nazo sehemu waliyosimama mashabiki wa yanga, kwani hakuona sehemu nyingine ya kufanyia huo uchawi wake..... ??
Hio mesej ya kutunga ni propaganda za makolo, yule dogo ni mzima wa afya, japo jana katiwa vikofi vya kumkumbusha aliwa sehemu waliyop Yanga huwa hatupendi uchawi kama wao walivyozoea kuwanga hadharani
Kwani hiyo nazi alipasulia kwenye ugoko wa shabiki wa Yanga?
Hoja ya msingi ni kuangia hiyo tuhuma kama ina ukweli kuwa huyo dogo kafariki au ni propaganda.
Na kama kafariki ni kweli alipigwa na mashabiki?
Utetezi wa kusema "alikuwa anavunja nazi kwenye sehemu walipo mashabiki wa Yanga" kwalengo la kufanya mashabiki walioshiriki hicho kitendo waonekane walifanya jambo sahihi unakuwa unajishushia credibility na hakuna mahakama inayowrza kusikiliza hicho kihoja kama utetezi.