Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Ubingwa wa Yanga utatesa sana majirani kila baada ya dakika 5 inashushwa nyuzi ya kumwagilia moyo
 
Ubingwa wa Yanga utatesa sana majirani kila baada ya dakika 5 inashushwa nyuzi ya kumwagilia moyo
kama ndiyo unakuwa unaambatana na vifo ligi simame tu muandikiwe ubingwa hadi 2050 la sivyo hatutaweza kumwagilia moyo tukiwa kaburini kwa vipigo vya walinda brand ya chapa Gsm
 
kama ndiyo unakuwa unaambatana na vifo ligi simame tu muandikiwe ubingwa hadi 2050 la sivyo hatutaweza kumwagilia moyo tukiwa kaburini kwa vipigo vya walinda brand ya chapa Gsm
weka hapa hio clip ya shabiki akipigwa
 
Kama ni kweli Yanga wafungiwe miaka mitano kushiriki mashindano yoyote ndani na nje ya nchi,wamezoea sana kila wakifanya hivyo si TFF wala viongozi wa Yanga wanakemea huu ushenzi. Na pia lugha anayotumia Haji Manara inachochea uhasama.
Mfahamishe yule aliyetaka kupigwa na Dr. Haji!
 
Yeyote anaeonekana kwenye hii video akimshambulia jamaa tayari ana kesi ya mauaji, bonge mwenye t-shirt ya njano na huyo mwenye jezi ya kijani wameonekana vizuri sana.

Kuna vitu ukifanya unaweza kuhesabika umeaua hata kama nia yako haikua kuua kwamfano umsababishie mtu majeraha alaf yamsababishie kifo kama hapo
 
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao

Inasemekana jamaa kafariki dunia

Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion wa nchi kwamba huu mwaka siyo wa mchezo, team ni ya moto huku ikichagizwa na semaji lisilotaka mzaha mzaha katika kupigania maslahi ya team linaloipenda kwa dhati
fununu.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom