Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuu unahalilisha mauaji kisa kapasua nazi? hawa jamaa wawili wanapiga hadi picha na viongozi uwanjani??dah aisee mmefikia pabaya sana kwa kweliYule alikuwa anapasua nazo sehemu waliyosimama mashabiki wa yanga, kwani hakuona sehemu nyingine ya kufanyia huo uchawi wake..... ??
Hio mesej ya kutunga ni propaganda za makolo, yule dogo ni mzima wa afya, japo jana katiwa vikofi vya kumkumbusha aliwa sehemu waliyop Yanga huwa hatupendi uchawi kama wao walivyozoea kuwanga hadharani![]()
lete picha dogo yuko mortuary!!kafariki mkuu lakini hawa jamaa wanshangilia kwa kifupi wana justify mauaji
TUNAONGELEA UHAI WA MTU UNAONGELEA KUHUSU MAKOMBE, WEWE LETA PICHA AKIWA HAIlete picha dogo yuko mortuary!!
si vizuri kumzushia mtu kifo! roho ya binadamu ni ngumu sana kutoka acheni uzushi Kolo FC!!
mwaka huu makombe yamewauma sijapata kuona!! mnahaha kuchafua taswira ya Yanga mmetoka kwa Haji mmehamia kwa dogo!
Tulitegenea ubingwa na umepatikanaKitimoto alitaka kumkunja Karia , mashabiki wao nao hawakuwa nyuma kuua mtu,Mama Jeni naye alikuwa ananyonya dudu....uongozi hadi mashabiki ni wavuta bangi unategemea nini
Kama alikuwa ana loga alichokipata ni stahiki yake kabisa, hata Mwenyezi Mungu anatubia usimuache mlozi au mchawi kuishi..
WAHUSIKWA WASAKWE SIO KITENDO CHA UBINADAMUNafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao
Inasemekana jamaa kafariki dunia
Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion wa nchi kwamba huu mwaka siyo wa mchezo, team ni ya moto huku ikichagizwa na semaji lisilotaka mzaha mzaha katika kupigania maslahi ya team linaloipenda kwa dhati
View attachment 2280029
Kila siku ninasema hili jambo na asubuhi nimesema , mnaopitapita karibu na mitaa ya wanayanga muwe makini . klabu ya Yanga sasa limekuwa dampo la vichaa. Wao kuchukua ubingwa wamekuwa kama limbukeni utafikiri hawajawahi kuuchukua au timu nyingine hazijawahi kuchukua ubingwa.Kama ni kweli mtu huyo kafa na sababu ni kipigo cha mashabiki wa Yanga basi tuna safari ndefu sana kwa aina hii ya ushabiki
HajamwelewaMkuu, mi napenda sana uandishi wake. Sidhani kama amewasifia!
Huyo mtu ana familia ujue, kuweni na heshima na uhai wa mtu maana uhai ukitetewa nyie mnasema ni wivu wa makombeSimba wanapenda habari za kuambiwa na kuzusha tu
Huyo mtu ana familia ujue, kuweni na heshima na uhai wa mtu maana uhai ukitetewa nyie mnasema ni wivu wa makombe
video haioneshi mauaji inaonesha kichapo Kolo FC mnahaha sanaKiongozi wa juu wa club, kuhamasisha ungonvi ni kiashiria ipo siku mauaji yatakuwa ya halaiki. Na iwapo hili litafumbiwa macho na uongozi wa kiserikali itakuwa Tabia na mauaji yatakuwa sehemu ya ushangiliaji kama video inavyo onesha!
Manara katuongezea makombe sio ujinga, sahihisha hapo Kolo FCWashabiki walio wengi wa yanga hawajitambui...na manara ndo kawaongeza ujinga.