Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Wapi nimeongelea makombe. Kila mnayemdhakilisha ana familia pia nanyi heshimuni wenzenu
kama uchukuaji wa makombe unamanisha vifo ndugu zangu yachukueni tu ligi isichezwe tuokoe nguvu kazi ya taifa
 
Sasa mbona video yenyewe inaonesha tu watu wanao vutana vutana! Yaani kufa kumekuwa ni rahisi kiqsi hicho! Si abiria wengi wangekufa kwa kuvutwa vutwa na wapiga debe maeneo ya stendi!

Halafu huo ujasiri wa hao mashabiki kuua mtu mchana kweupe hivyo kwa sababu tu ya jezi, ulitoka wapi! Hakukuwepo na vyombo vya usalama?

Isije ikawa ni taarifa ya kuzusha, halafu wenzangu na mimi wakaamua sasa kubwabwaja humu na midomo yao mirefu.
Mgosi usinekuta ni ndugu yako huyo aliyeuliwa, huu ushabiki wa kipumbavu sana.
 
Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion
Kama ni kweli amefariki huyo mtu, jiulize ungekuwa na fikra hizi hizi endapo ingekuwa ni ndugu yako????

Mpira ni burudani tu, hata wachezaji na wasemaji wa timu pinzani wakiwa nje ya uwanja ni maswahiba, kazi ipo kwa mashabiki maandazi.

Haijalishi ni shabiki wa timu gani, ugomvi katika michezo ni ujinga, ulimbukeni na ushamba. Na alie mjinga zaidi ni yule anaeshabikia madhara ya binadamu mwenzie kwa jina la michezo/ushabiki.
 
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao

Inasemekana jamaa kafariki dunia

Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion wa nchi kwamba huu mwaka siyo wa mchezo, team ni ya moto huku ikichagizwa na semaji lisilotaka mzaha mzaha katika kupigania maslahi ya team linaloipenda kwa dhati

View attachment 2280029
Kama ni kweli Yanga wafungiwe miaka mitano kushiriki mashindano yoyote ndani na nje ya nchi,wamezoea sana kila wakifanya hivyo si TFF wala viongozi wa Yanga wanakemea huu ushenzi. Na pia lugha anayotumia Haji Manara inachochea uhasama.
 
mambo ya kusaka views haya[emoji16][emoji16]
 
Kama ni kweli Yanga wafungiwe miaka mitano kushiriki mashindano yoyote ndani na nje ya nchi,wamezoea sana kila wakifanya hivyo si TFF wala viongozi wa Yanga wanakemea huu ushenzi. Na pia lugha anayotumia Haji Manara inachochea uhasama.
... Zeru ni tatizo kwenye soka.
 
Umeambulia kupiga picha wakat mtu anapoteza maisha yake,ungeweza kumsaidia.Mjinga mkubwa wewe.
 
Mgosi usinekuta ni ndugu yako huyo aliyeuliwa, huu ushabiki wa kipumbavu sana.
Mimi siungi mkono ushabiki wa aina hii. Na kama ni kweli, basi sheria ichukue mkondo wake.

Ila kinacho onekana kwenye hiyo clip ndiyo kwangu nakiona hakina uhalisia! Maana kwangu naona ni watu kuvutana, tena mbele ya halaiki ya watu! Hapaonekani kuwa na kiashiria chochote kile cha mauaji.
 
Sasa mibaba hiyo na vitambi vyao si itafia korokoroni,
 
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao

Inasemekana jamaa kafariki dunia

Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion wa nchi kwamba huu mwaka siyo wa mchezo, team ni ya moto huku ikichagizwa na semaji lisilotaka mzaha mzaha katika kupigania maslahi ya team linaloipenda kwa dhati

View attachment 2280029

Hili ni jukwaa la siasa au la michezo?🤔
 
Kiongozi wa juu wa club, kuhamasisha ungonvi ni kiashiria ipo siku mauaji yatakuwa ya halaiki. Na iwapo hili litafumbiwa macho na uongozi wa kiserikali itakuwa Tabia na mauaji yatakuwa sehemu ya ushangiliaji kama video inavyo onesha!

Kweli kabisa ushamba mwingi. Serikali ipige marufuku maandamano ya kwenda airport au bandarini kisa kupokea kombe au timu au mchezaji mpya alitesajili.

Shughuli zote za mpira ziishie uwanjani au katika makao makuu ya klabu. Hii ya washamba kwenda kupokea timu kwa maandamano yawe ya bodaboda, magari, baiskeli au miguu yapigwe marufuku.

Wowote watakaovunja amani kama hao washamba wa Arusha wachukuliwe hatua kali na klabu zote zipewe miongozo kuwa kushangilia makombe au ushindi shughuli ziishie uwanjani au ktk makao makuu ya klabu ili uthibiti na masuala ya faini yaweze kuzibana klabu husika.
 
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao

Inasemekana jamaa kafariki dunia

Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion wa nchi kwamba huu mwaka siyo wa mchezo, team ni ya moto huku ikichagizwa na semaji lisilotaka mzaha mzaha katika kupigania maslahi ya team linaloipenda kwa dhati

View attachment 2280029
ku*m#e zenu mashabiki yanga. wallah naapa, mtailipia damu ya huyo shabiki wa simba.
 
Kama ni kweli Yanga wafungiwe miaka mitano kushiriki mashindano yoyote ndani na nje ya nchi,wamezoea sana kila wakifanya hivyo si TFF wala viongozi wa Yanga wanakemea huu ushenzi. Na pia lugha anayotumia Haji Manara inachochea uhasama.
Hiyo sheria haipo Mkurugenzi. Kama hilo tukio limetokea kweli, vyombo vya dola vitahusika kuwachukulia hatua hao watuhumiwa waliohusika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom