SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Maana waathirika wakubwa ni wauza ngada. Kweli wammalize kimila tu( hizi ndio akili za watz)Wengi walioumizwa na Bashite ni wenye uwezo mkubwa kifedha sasa wanashindwa nini kujipanga wakaunganisha nguvu wakamalizana naye 'kimila'? Huyu kuna kila dalili za kukingiwa kifua na dola kwa sababu zilizo wazi. Kwa mkondo wa sheria watachemsha tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Aliongoza kufanya maovu mengi snWengi walioumizwa na Bashite ni wenye uwezo mkubwa kifedha sasa wanashindwa nini kujipanga wakaunganisha nguvu wakamalizana naye 'kimila'? Huyu kuna kila dalili za kukingiwa kifua na dola kwa sababu zilizo wazi. Kwa mkondo wa sheria watachemsha tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tatizo ndio liko hapo. Hao unaodai wauza ng'ada why hawakamatwi, hawashtakiwi? Au kila aliegombana na makonda ni muuza ng'adaMaana waathirika wakubwa ni wauza ngada. Kweli wammalize kimila tu( hizi ndio akiki za watz)
Unayo maelezo?Wananchi wengi waliokwazika na kubughudhiwa sasa wameamka.
Huyu ni mmoja wa walio onja joto la jiwe kupitia kwa Makonda.
Hakika haki ucheleweshwa tu na mwanadamu.View attachment 2340574
hamna kitu hapo. Hilo ni genge, makonda alipambana na eti wauza unga kwa ajili ya kusafisha njia kwa genge la watu wake. na hiyo inaweza kuwa zawadi alimpa Makonda, leo hana uwezo wa kusafisha njia ndiyo anaibuka nye nye nye...mavi yake.Wananchi wengi waliokwazika na kubughudhiwa sasa wameamka.
Huyu ni mmoja wa walio onja joto la jiwe kupitia kwa Makonda.
Hakika haki ucheleweshwa tu na mwanadamu.View attachment 2340574
Possibly ndilo lenyewe!Unazungumzia hili au?View attachment 2340658
Aliyekua rc yaani bashiteKwaiy jamaa katapeliwa na rc au
ndio hivyo,RC alikua anauwezo wa kuingia dukani kwako akapoint vitu anavyotaka kisha akasepa ataagiza usafiri na vitu vita mfata alipo.Kwaiy jamaa katapeliwa na rc au
Sio tapeli alikua jambazi hasaaaDuuh huyu mwamba kumbe alikuwa tapeli