Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

Hili gari lilipaki pale kwa RC WA Dsm mpaka juziijuzi tangu Makonda aondoke sio Hilo tuu alitumia wadhifa wake kuwa jambazi kutisha watu na kuchukua Mali zao bila ridhaa yeye na sabaya mnyeti nae yumo ni miiongoni mwa viongozi waliofanya ufedhuli Sanaa sijui wanasheria wa Tanzania ni waoga au HAWAJUI kutengeneza ushahidi ingekuwa Kenya Hawa wote kina Ally Happy wangekuwa Magereza

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kila Ubaya utalipwa
 
Ila niwaambie kitu Makonda ni tapeli sana Kuna sehem alipanga akavunja eneo alafu kuliendeleza ameshindwa
Amevunja nyumba akajenga jengo ameshindwa kuliendeleza Kodi anadaiwa ya mwaka mmja na miez kadhaa......Huyu Makonda amekua ni chanzo Cha maisha yangu pia kuyumba
 

Na PCK je unamjua vizuri. Mana Huyu ndo tapeli Orginal
 
Kiukweli awamu ya jiwe haifai hata kukumbukwa, wenye majereha Ni wengi,Ni suala la muda tu wataibuka wote nahisi
 
Halafu hapo juu kuna mtu mmoja amesema yule afrit maalun apewe tuzo! Yule mfugaji wa haya madubu; Sabaya, Makonda, Ali hapi, na chawa wao akina Lemutuz apewe tuzo.
Watanzania ni wapole sana hivi mtu sasa hana ulinzi halafu anatamba na mali yako mtaani hivi tuuuuu!! Haya bhana tuone kama huyo SSH atafanya lolote maana wengine tunakumbuka historia yao! Jiteetee mwanaume tafuta waungwana tumweke mtu kati akupe mali zako huyu dubu!
 
Ila anaemkingia "kifua" bashite asichukuliwe hatua kwa ukatili, uovu na ujambazi aliofanya anafanya kitu cha kuja kumdhalilisha sana, ni vyema akaacha sheria ichukue mkondo wake!
 
Kwaiyo hapo kakutapeli nini?
 
Ila anaemkingia "kifua" bashite asichukuliwe hatua kwa ukatili, uovu na ujambazi aliofanya anafanya kitu cha kuja kumdhalilisha sana, ni vyema akaacha sheria ichukue mkondo wake!
Bashite ana hali ngumu sana. Sioni anaponaje hata baada ya miaka 20 mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…