Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.

===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango

WORLDBANK.jpg
 
Kwa mara kwanza Tanzia imekua ranked ya pili AFRICA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.
Nimeona hii Taarifa kwenye gazeti la THE CITIZEN la leo , nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi. kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY ,FRANCE na wengine wengi.
Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA , umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.
Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.
EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya RAIS KIKWETE apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE , apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili AFRICA kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.
WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania . KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT).
Dr JABIRI KUWE , Dr KIKWETE , Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu PEPONI.
MMELIHESHIMISHA TAIFA, VIjana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu , endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali .
Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini
View attachment 2620688
Mmmh
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRICA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Mbona bado ni mafisadi?
 
Wafanye intergration ili taasisi zote zihamie
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
 
Chawa ni kundi la hatari sana kwenye mustakabali wa taifa letu
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili Tanzania kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.

View attachment 2620688
Japokuwa sikuwahi kumkubali kabisa Kikwete, lakini kuna mambo kadhaa alionyesha njia ili watangulizi wake wayaendeleze, kukamilisha au kuboresha. Kwa uchache ni haya.....
1. Katiba mpya.
2. E-government.
3. Miundo mbinu ya reli (SGR), Barabara na madaraja
4. Kupanua wigo wa udahili na kujengwa vyuo vikuu vya umma na binafsi.
5. Uchimbaji wa gesi.
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
E Government imeanziashwa kipindi Cha kikwete mkuu ,
Magufuli alianzisha mfumo wa control number mkuu , usipanic sana mkuu kwa sababu mtoa mda hajamtaja magu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom