Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

Haisaidii kitu. Kusifiana kwa mfumo Kama ega ni upumbavu. Haya ni mambo ambayo baada ya muda lazima yawepo tu

Ni sawa na kumsifia raisi kujenga barabara au daraja.

Sometimes ni vizuri kuwajua watu walio push Jambo zuri hata kama la kawaida ...
Mwingine ange push posho na wizi ..
Shujaa sio lazima afanye kitu cha ajabu ...hata kufanya kidogo Tu cha kawaida wakati kila mtu Yuko bize na wizi ni ushujaa
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.

===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango

View attachment 2620688
hivi unajua kuwa kampuni inayochapisha hilo gazeti ccm ina hisa?
 
Haisaidii kitu. Kusifiana kwa mfumo Kama ega ni upumbavu. Haya ni mambo ambayo baada ya muda lazima yawepo tu

Ni sawa na kumsifia raisi kujenga barabara au daraja.
MajiIs, Mfumo wa vyama vya ushirika, mGov, eVibali, eOffice, ERMS etc..
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
Listen you guy and listen again. Mkapa na Kikwete ndiyo marais waliyoweka frameworks za mambo mengi sana kwenye nchi yetu na nadhani sababu ya exposure waliokuwa nayo. The best thing Magufuli did and did it very well ni unyampala. Full stop.
 
Hujui lolote kaa kimya, nawafahamu hadi ma programmer wa Magu waliotengeneza huo mfumo na kuwang'oa SELCOM. Unayoyajua yote ni uongo ulioaminishwa. Tungekuwa tunajuana ningekuonyesha ushahidi, ukiendelea kunibishia nitakutukana.
Wewe huelewi unachokisema
 
Listen you guy and listen again. Mkapa na Kikwete ndiyo marais waliyoweka frameworks za mambo mengi sana kwenye nchi yetu na nadhani sababu ya exposure waliokuwa nayo. The best thing Magufuli did and did it very well ni unyampala. Full stop.

Punguza Mahaba mkuu

Tuko hapa kuelemishana

Bishana kwenye vitu visivyo na fact

Magufuli kafanya makubwa Sana

Huwez kuyaona sababu ya Mahaba
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.

===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango

View attachment 2620688
sasa Rwanda kijiji cha technologia kipo cha ngapi? kagame mwongo sana.
 
GePG apewe Maua Dr. PHILIP ISDOR MPANGO
 
Sometimes ni vizuri kuwajua watu walio push Jambo zuri hata kama la kawaida ...
Mwingine ange push posho na wizi ..
Shujaa sio lazima afanye kitu cha ajabu ...hata kufanya kidogo Tu cha kawaida wakati kila mtu Yuko bize na wizi ni ushujaa
Wastage of time. Hapo tukianzaa hivyo basi tutafika hadi kwa matrafiki wanaosimama barabarani kuongoza magari, tutafika hadi kwa mafundi alluminium waliotengenezaa madirisha ofisi za serikali, tutafika pia kwa walinzi wa ofisi za serikali, wakulima waliolima kipindi cha kiangazi, manesi wanaoingia shift za usiku

Kifupi itakua ni kupongezana tu
 
Rwanda kitu gani? Nawashangaa sana mnaotaka kufananisha kinchi kilicho kama mkoa wa Kagera na Tanzania
Rwanda na Wilaya ya Sikonge iliyopo mkoa wa Tabora almost zinalingana kwa ukubwa wa eneo
 
WaTanzania watu wa ajabu sana, kwenye tovuti ya e GA imeandikwa ilianzishwa mwaka 2010 kutokana na sheria ya 2003 lakini mtu anakataa kabisa kuwa haikuanzishwa huo mwaka bila yeye kuwa na chanzo chochote..hii ni hatari sana.
Mwingine anasema kilianzishwa alafu sheria ikatungwa mwaka 2019...jamani sheria si ndo inatangulia kwanza kabla ya kitu kuanza.
 
Ila tunapolipia kwann wanatukata na ya kutumia wakat tunailipa serikali.
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.

Mbona povu bro, au legacy haijapewa sifa stahiki nini?
 
Ubaya sasa hata hiyo TEHAMA yenu inasaidia nini? Hela zote si zinaishia kupigwa na akina Madelu hata kama TEHAMA inasaidia kuzikusanya?

Ombi la pasipoti unalianzia mtandaoni kwenye TEHAMA yenu lakini mwisho wa siku figisu za mubashara zipo tu na kama una haraka lazima upigwe.

TEHAMA mai futi. NIDA nao si wanatumia TEHAMA? 🚮🚮
 
Japokuwa sikuwahi kumkubali kabisa Kikwete, lakini kuna mambo kadhaa alionyesha njia ili watangulizi wake wayaendeleze, kukamilisha au kuboresha. Kwa uchache ni haya.....
1. Katiba mpya.
2. E-government.
3. Miundo mbinu ya reli (SGR), Barabara na madaraja
4. Kupanua wigo wa udahili na kujengwa vyuo vikuu vya umma na binafsi.
5. Uchimbaji wa gesi.
Hiyo gesi inamsaidia nani? 😳😳😳
 
Nikisikia hizi sifa za kijinga nashindwa kuelewa kabisa, ingia kwenye mfumo wa TRA kufanya return uone mfumo ulivyo slow, mara sijui upo down. Yaani ni kero juu ya kero. Waseme tu Tanzania nayo inatumia mifumo ya technology, lakini sijui ya pili kwa Afrika naona ni fix tu. Kwanza source na hiyo taarifa wala sielewi credibility yake.
 
Back
Top Bottom