Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

huo ni uongo mwingine Serikali mtando ilinzishwa kipindi cha kikwete kweli ...hii sheria yake si ilikuwa 2019 na hii system ndo iliwanyima ulaji watu wengi wakaanza kuona Maisha magumu
Huelewi chochote soma comment number 33 utaelewa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.

===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango

View attachment 2620688
Mm mauwa napeleka sekta binafsi ..haya yote tunayoyaona ni matunda ya kuruhusu mawazo binafsi kutoka kampuni binafsi km selcom na kampuni nyingine.

From ndio government inajijengea uwezo zaidi.

Secta binafsi kwenye maendeleo ni muhimu sana.
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
Unataka kuchanganya mambo mawili,
Unachoongelea wewe ni Control NOMBER ambayo magu aliifanya

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

E-Government kitu walichofanikiwa nacho

Namba ya usajili wa kampuni (Brela) kuwa Sawa na namba ya Mlipa Kodi ( TIN)

Hilo wapewe pongenzi.

Chuma kafanya mambo mengi ambayo Kipindi cha JK yalikuwa kwenye makaratasi tu.

Data CENTER Nyingi za serikali kajenga Chuma na kukamilisha vitendea kazi vyake vya kisasa.

Asante!
 
Rwanda kitu gani? Nawashangaa sana mnaotaka kufananisha kinchi kilicho kama mkoa wa Kagera na Tanzania
Serengeti National Park ni kubwa kuliko hicho Kirwanda.Ebu tuwe serious kidogo.
 
E Government ni matunda ya magufuli 100% alianzisha kuondoa mtu kati kwenye kukusanya mapato ya serikali wajanja kama selcom waliowekwa na jk kama madalali aliwafutilia mbali so magu apewe maua yake
Selcom, maxmlipo Magu alitupilia mbali
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
Naunga mkono mkuu

JPM ndio kila kitu kuhusu E-Government, ilifikia hadi wana ccm wenzake walimchukia maana hadi vitega uchumi vya CCM walikuwa wanalipa kwa control number.
 
Kupata loss report unalipia 500 kwenye control number, halafu askari polisi anataka elfu 5 kuithibitisha, hapo kuna unafuu gani sasa.
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
Nimeshangaa sana kumruka JPM ndipo nilipotlia shaka taarifa hizi.
Mtu hata kama humpendi haki yake mpatie tu
 
Na kwa taarifa yako ishaanzq kuchakachuliwa kwa kiwango cha hali ya juu mno
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.

===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango

View attachment 2620688
Wacha fix zako za kipumbavu wewe. Matumizi yake yanasaidia nini wakati mafisadi ndiyo wanzidi kupiga fedha! Peleka uchafu wako huko...
 
Nasikitika sana WATANZANIA wengi wanaamini hiyo Mifumo imekuw developed na e_GA kitu ambacho si kweli.

Mifumo michache sana waliyodevelop wao from the scratch ila mifumo mingi wame outsource.. na wao wanakuwa kama wasimamizi tu ila sio wao waliodevelop.

Tanzania kwenye ishu za ICT watu walio competent ni wachache mnoo. Ila tunatumia hela nyingi kupata hizo huduma.

NB: pitieni gharama za uendeshaji hiyo mifumo.

Pia mifumo mingi ipo ila sio rafiki kwa watumiaji..
Kama taifa najivunia kusikia hizi taarifa nzuri ila ukwel pia tunausema.
Acha uongo, nitajie mifumo mitatu tu waliyo outsource.
 
Mambo ya teknolojia wala hakuna sababu ya kumsifia mtu. Kwakuwa baada ya muda ni lazima tu mtafanya hivyo

Haturudi nyuma bali tunaenda mbele, Kuna teknolojia utake usitake lazima utaitumia tu.
Zamani tulikua tunapanga foleni kununua umeme wa luku, lakini sasa hivi tunanunua kupitia simu.

NB; EGA imeanzishwa 2019, lakini sio sababu ya Magufuli. Hata Magufuli agekuwepo bado ega ingeanzishwa tu. Ni sawa na wanaomsifia mkapa kuanzisha mashirika, utafikiri asingekuwepo yasingeanzishwa
 
Mngewataja Kwa majina wale wabunifu wa Hiyo E-government...ili tuwajue
 
Haisaidii kitu. Kusifiana kwa mfumo Kama ega ni upumbavu. Haya ni mambo ambayo baada ya muda lazima yawepo tu

Ni sawa na kumsifia raisi kujenga barabara au daraja.
 
Back
Top Bottom