Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

Lakini Bado Kuna kichaa akalazimisha Wizara, wafanyakazi na huduma zote za serikali zihamie mtumba city (ili tu mji huo upewe jina lake).
Gharama zote zile tungeweka kwenye E-government huduma zingesogea zaidi kwa wananchi kuliko wao kuzifuata Dodoma
Mjinga tu. Wala huelewi nini maana ya makao makuu ya taifa
 
Kama E gov ingekuwa na muhimu wasingetumia trl 2 kuhamisha makao makuu
 
Naunga mkono mkuu

JPM ndio kila kitu kuhusu E-Government, ilifikia hadi wana ccm wenzake walimchukia maana hadi vitega uchumi vya CCM walikuwa wanalipa kwa control number.
Huu ulikuwa nwiba kwa wana ccm wale maslahi..na juzi niliona kuna kiongozi mmoja anataka huo mfumo utolewe sababu za msingi hana
 
Listen you guy and listen again. Mkapa na Kikwete ndiyo marais waliyoweka frameworks za mambo mengi sana kwenye nchi yetu na nadhani sababu ya exposure waliokuwa nayo. The best thing Magufuli did and did it very well ni unyampala. Full stop.
Ulinganganisha frame work na real implementation of project. Hata mimi nina frame work zangu za kujenga kiwanda cha mbolea Tanzania .issue ni utekelezaji wake sasa ndo naona kimbembe chake
 
Punguza Mahaba mkuu

Tuko hapa kuelemishana

Bishana kwenye vitu visivyo na fact

Magufuli kafanya makubwa Sana

Huwez kuyaona sababu ya Mahaba
True hata saa 100 ameikuta nchi ipo WELL ORGANISED na mifumo kuliko wakati wowote ila nachoona huku mbele tutarudi kwa makaratasi
 
Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.

Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.

Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.

Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.

EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.

Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.

WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.

Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.

Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.



===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango

View attachment 2620688
Mnafiki mkubwa mbona umemtaja aliyekuja baada ya mwendazake,je yeye kafanya nini zaidi ya kumuondoa huyo mtendaji na kumpeleka tozo
 
Ulinganganisha frame work na real implementation of project. Hata mimi nina frame work zangu za kujenga kiwanda cha mbolea Tanzania .issue ni utekelezaji wake sasa ndo naona kimbembe chake
Tofautisha nchi na kiwanda chako cha mbolea basi bwashee. Unless uwe huna uzoefu wa Serikali inavyofanya kazi.

Frameworks za nchi ni pamoja na legal actions, implementation plans, funding proposals, financing agreements etc etc, yote hayo kufanya jambo jambo flani lifanyike. Kwa mfano, Daraja la Tazara, Ubungo exchange, Daraja la Tanzanite na mradi wa uboreshaji wa jiji la Dar es Salaam fedha zote zilitafutwa na kuwa firmed na Jakaya. Utekelezaji wake umefanyika kipindi cha JPM, hapa yupi ni wa kupewa sifa kwa muono wako?
 
Huu ulikuwa nwiba kwa wana ccm wale maslahi..na juzi niliona kuna kiongozi mmoja anataka huo mfumo utolewe sababu za msingi hana
Huu mfumo uliwabana watu wengi lazima utengenezewe zengwe tu
 
UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
Magufuli hakuaanzisha mfumo wowote kama unavyotaka kudanganya hapa. EGA imeanzishwa wakati wa Kikwete. Na kulipa kwa mtandao kulianzishwa na MAXMALIPO.

Alichofanya Magufuli ni kunyang'anya proprietary rights za a new start up ambayo vijana wa Kitanzania wameihangaikia kuitengeneza na kuiingiza kwenye EGA. Kama mdogo wako anakuambia walijifungia Bagamoyo kugundua control number basi anakufanganya. Wao walijifungia Bagamoyo ku integrate mfumo wa Maxmalipo kwenye EGA tu, kazi ilikwishafanywa na wenye akili zao.

Kwenye Fintech kuna startup nyingi tu ambazo vijana wanatengeneza kama aliyetengeneza Mpesa. Ni kijana wa kitanzania lakini alibaniwa kuianzisha hapa na akaamua kwenda kuiuza kwa SafariCom Kenya. Kuna mwingine anaitwa Mendez yeye alianzisha LipaGesi, na sasa ana ubia na Kampuni ya Uingereza. Mwingine ni Benjamin Fernández aliyeanzisha NALA ya kuhamisha fedha toka Europe na America kuja Africa.

Unaposema vijana wa Selcom au Maxmalipo walikuwa ma bilionea nakushangaa sana. Hivi mtu anagundua kitu ambacho hakikuwapo, bado unataka aendelee kuwa kapuku? Kwani hawa kina Joseph Bezos au Elon Musk wameibukaje? Ni kwa sababu ya intellectual property!!
 
Tofautisha nchi na kiwanda chako cha mbolea basi bwashee. Unless uwe huna uzoefu wa Serikali inavyofanya kazi.

Frameworks za nchi ni pamoja na legal actions, implementation plans, funding proposals, financing agreements etc etc, yote hayo kufanya jambo jambo flani lifanyike. Kwa mfano, Daraja la Tazara, Ubungo exchange, Daraja la Tanzanite na mradi wa uboreshaji wa jiji la Dar es Salaam fedha zote zilitafutwa na kuwa firmed na Jakaya. Utekelezaji wake umefanyika kipindi cha JPM, hapa yupi ni wa kupewa sifa kwa muono wako?
Hiyo ndiyo REALITY on the ground, asante Dan Zwangendaba . Viongozi wote waliotangulia kuanzia Nyerere hadi Kikwette walikuwa wanafanya kazi kubwa sana ila walikuwa HAWAJISIFII.

Alikuja huyu Kichaa wa Chato kila kitu akawa anajisifia yeye na kuponda watangulizi wake. Na Watanzania kama 80% ni watu wajinga, walikuwa wanaamini uwongo wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom