Mjinga tu. Wala huelewi nini maana ya makao makuu ya taifaLakini Bado Kuna kichaa akalazimisha Wizara, wafanyakazi na huduma zote za serikali zihamie mtumba city (ili tu mji huo upewe jina lake).
Gharama zote zile tungeweka kwenye E-government huduma zingesogea zaidi kwa wananchi kuliko wao kuzifuata Dodoma
Basi Rwanda ina maendeleo kama Finland kwa vile nayo ni ndogo. Haya umepata
Huu ulikuwa nwiba kwa wana ccm wale maslahi..na juzi niliona kuna kiongozi mmoja anataka huo mfumo utolewe sababu za msingi hanaNaunga mkono mkuu
JPM ndio kila kitu kuhusu E-Government, ilifikia hadi wana ccm wenzake walimchukia maana hadi vitega uchumi vya CCM walikuwa wanalipa kwa control number.
Ulinganganisha frame work na real implementation of project. Hata mimi nina frame work zangu za kujenga kiwanda cha mbolea Tanzania .issue ni utekelezaji wake sasa ndo naona kimbembe chakeListen you guy and listen again. Mkapa na Kikwete ndiyo marais waliyoweka frameworks za mambo mengi sana kwenye nchi yetu na nadhani sababu ya exposure waliokuwa nayo. The best thing Magufuli did and did it very well ni unyampala. Full stop.
True hata saa 100 ameikuta nchi ipo WELL ORGANISED na mifumo kuliko wakati wowote ila nachoona huku mbele tutarudi kwa makaratasiPunguza Mahaba mkuu
Tuko hapa kuelemishana
Bishana kwenye vitu visivyo na fact
Magufuli kafanya makubwa Sana
Huwez kuyaona sababu ya Mahaba
Mnafiki mkubwa mbona umemtaja aliyekuja baada ya mwendazake,je yeye kafanya nini zaidi ya kumuondoa huyo mtendaji na kumpeleka tozoKwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE na wengine wengi.
Uanzishwaji wa malipo ambayo ni centralized (matumizi ya Control number), utumiaji wa mifumo ambayo imetengenezwa na serikali yenyewe kupitia taasisi ya EGA, umechochea mabadiriko makubwa sana ya TEHAMA serikalini.
Kwa sasa taasisi nyingi za serikali zinatumia mifumo ya kidigitali kutekeleza majukumu yake.
EGA imeanza toka awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Kikwete apewe maua yake. Mkurugenzi wa kwanza ambaye kama sikosei alihamishwa Miaka kama mitatu toka sasa alikua anaitwa Dr JABIRI KUWE apewe maua yake.
Serikali ya awamu ya Tano iliendeleza wazo la serikali ya awamu nne , na sasa SERIKALI ya mama Samia imeipa nguvu zaidi taaisi hii ambayo sasa imewezesha nchi yetu kuwa ya pili Afrika kwa matumizi ya TEHAMA si TEHAMA tu bali TEHAMA ambayo iko matured.
WORLD BANK wametupa maua yetu watanzania. KONGOLE EGA (E-GOVERNMENT), Dr JABIRI KUWE, Dr KIKWETE, Dr Samia Suluhu mna nafasi yenu peponi.
Mmeliheshimisha taifa, vijana wazalendo na wapambanaji waliopo taasisi ya EGA pokeeni maua yenu, endeleeni kuilinda nchi yetu kidigitali.
Yalikua maono sahihi kuanzisha taasisi hii inayoratibu matumizi ya TEHAMA Serikalini.
===================UPDATES============
Wanaosema sijamtaja Rais Mgufuli hawajasoma vizuri , nimetaja awamu ya tano , ambayo raisi wake alikua Dr Magufuli, lakini E-GA haikuanza kipindi cha raisi Magufuli ,ilianza kipindi cha Raisi KIKWETE , Raisi Magufuli alisimamia tu vyema mwendelezo wa EGA , na kitu cha pekee na kizuri kilichoanza kipindi cha Rais Magufuli ni GEPG(Government electronic payment Gateway) ambapo Control numbers zilizaliwa , GEPG iko chini ya wizara ya fedha na Mipango
View attachment 2620688
Tofautisha nchi na kiwanda chako cha mbolea basi bwashee. Unless uwe huna uzoefu wa Serikali inavyofanya kazi.Ulinganganisha frame work na real implementation of project. Hata mimi nina frame work zangu za kujenga kiwanda cha mbolea Tanzania .issue ni utekelezaji wake sasa ndo naona kimbembe chake
Huu mfumo uliwabana watu wengi lazima utengenezewe zengwe tuHuu ulikuwa nwiba kwa wana ccm wale maslahi..na juzi niliona kuna kiongozi mmoja anataka huo mfumo utolewe sababu za msingi hana
Magufuli hakuaanzisha mfumo wowote kama unavyotaka kudanganya hapa. EGA imeanzishwa wakati wa Kikwete. Na kulipa kwa mtandao kulianzishwa na MAXMALIPO.UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni mmojawapo wa waliojifungia Bagamoyo mwezi mzima kutengeneza huu mfumo tunaouona Sasa hivi. Leo hii anatokea K.ENGE mmoja asiyeelewa chochote anamsifia Kikwete na Samia kwa asilolijua kisa familia yake ina njaa anajaribu kulazimisha kujikomboa. Watanzania punguzeni UCHAWA ni UPUMBAVU wa hali ya juu kusifia usiyoyajua kisa tumbo lako lina njaa.
Hiyo ndiyo REALITY on the ground, asante Dan Zwangendaba . Viongozi wote waliotangulia kuanzia Nyerere hadi Kikwette walikuwa wanafanya kazi kubwa sana ila walikuwa HAWAJISIFII.Tofautisha nchi na kiwanda chako cha mbolea basi bwashee. Unless uwe huna uzoefu wa Serikali inavyofanya kazi.
Frameworks za nchi ni pamoja na legal actions, implementation plans, funding proposals, financing agreements etc etc, yote hayo kufanya jambo jambo flani lifanyike. Kwa mfano, Daraja la Tazara, Ubungo exchange, Daraja la Tanzanite na mradi wa uboreshaji wa jiji la Dar es Salaam fedha zote zilitafutwa na kuwa firmed na Jakaya. Utekelezaji wake umefanyika kipindi cha JPM, hapa yupi ni wa kupewa sifa kwa muono wako?
Weka takwimu basi hapa za GDP tuone saizi ya Rwanda vs TanzaniaUjanielewa, nachosema size doesn't matter
Weka takwimu basi hapa za GDP tuone saizi ya Rwanda vs Tanzania