Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

Sio mtu amerokodi, ni CCTV
 
Ni dhahiri pia kuwa, watekaji ni waoga sana,

Na soon wananchi watatumia chance hivyo vyema,

Watekaji wamekimbia na kuacha pingu,

Ndugu huyu atumie hizo pingu kuwalocate Kwa finger print zao.
Yeah sahihi
 
Yaani huyo ni shujaa kabisa.. hongera sana kwake!!
Kitendo hiki ni cha ushujaa sana.
 
Mazoezi na self defense muhimu sana
Imagine bonge angekuwa anajua hata mieleka, hata kama wana vyuma unaichukua kirahisi
Inaonekana hao jamaa hata mafunzo hawana ya kupigana zero kabisa
 
Halafu Kuna hii hapa: Anaandika Detective wa kujitegemea, #FortunatusBuyoye katika ukurasa wake wa X (Twitter).
_________
Huyo jamaa tall aliyevaa raba na shati la mistari anafahamika kwa jina la utani kama NYANG'AU. Amepata mafunzo ya kijeshi JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza). Alikuwa kombania B (B Coy). Mwaka 2009 akaajiriwa "kitengo" na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro. Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha. Inadaiwa alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa "Chairman" mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu Nyang'au anaunda timu (task force) ya watu watano wanaofanya kazi hizi. Mmoja wao namfahamu vizuri lakini simtaji hapa kwa sababu hakuwa sehemu ya swala hili la Kiluvya. Lakini Initials za majina yake ni E.K.

Nyang'au hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA karibu na shule ya msingi Minazi Mirefu, akijifanya kuwa ni muuza maua (camouflage strategy). Nimeambatanisha picha za Nyang'au akiwa JKT Oljoro na akiwa mtaani. Mwenye Kapelo anaitwa Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.!

Copy & paste

Mafwele Raia walimtaja vizuri tu!
 
Soma hii sababu hata Mafwele alitajwa hadharani, Kuna watu hawawezi kuendelea kukaa na Siri daima, hata yule alomtolea Nape bastola alitajwa vile vile, mjinga mmoja weee:
Anaandika Detective wa kujitegemea, #FortunatusBuyoye katika ukurasa wake wa X (Twitter).
_________
Huyo jamaa tall aliyevaa raba na shati la mistari anafahamika kwa jina la utani kama NYANG'AU. Amepata mafunzo ya kijeshi JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza). Alikuwa kombania B (B Coy). Mwaka 2009 akaajiriwa "kitengo" na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro. Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha. Inadaiwa alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa "Chairman" mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu Nyang'au anaunda timu (task force) ya watu watano wanaofanya kazi hizi. Mmoja wao namfahamu vizuri lakini simtaji hapa kwa sababu hakuwa sehemu ya swala hili la Kiluvya. Lakini Initials za majina yake ni E.K.

Nyang'au hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA karibu na shule ya msingi Minazi Mirefu, akijifanya kuwa ni muuza maua (camouflage strategy). Nimeambatanisha picha za Nyang'au akiwa JKT Oljoro na akiwa mtaani. Mwenye Kapelo anaitwa Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.!

Copy & paste
 
Mjomba hilo ni geresha tu wasiojuilikana kamwe hawajuulikani na hao soon utawakuta uraian izo zinaitwa chezea akili ,,fisiem inazidi kujizolea point kwa kuwakamara wasiojuilikana feki
 
umecopy na kupeste vizuri sana gentleman.

Muhimu muungwana aache dhuluma ubabe na madharau kitaa. Ishi na watu vizuri. Mambo ya kujitakia yanadhalilisha sana aise, mwanaume mtu mzima mwenye familia yake kupiga mayowe, huku akihenyeshwa na vijana wadogo tu. Ni aibu sana kwakweli πŸ’
 
Nadhani Kuna mahali una tatizo la afya ya akili, na nimekuonya mara nyingi, ukiendelea kwa kinywa na vidole vyako kuendelea kufurahia dhuluma na mateso dhidi ya binadamu, wakati utafika na ukiwa hai utaona matunda yake kwako na familia Yako! Ikiwa hata mtu amedhulumu ambapo (huna hakika) katika nchi inayofuta utawala wa Sheria hastahili kutwezwa utu wake Kwa kiasi hiki. Dhamira Yako itasema na wewe kwa wakati wake sahihi.
 
Relax bas gentleman,

wewe una uhakika gani na hizo copy na paste zako, na unashupaza shingo kabisa niamini huo ushirikina 🀣

na kama ilikua ni bongo movie wanashuti action movie, wewe una uhakika gani kama ule ndiyo utekaji? na mbona mpiga picha hata hatikisi kamera dah 🀣

Ishi na watu vizuri, full stop πŸ’
 
Mjomba hilo ni geresha tu wasiojuilikana kamwe hawajuulikani na hao soon utawakuta uraian izo zinaitwa chezea akili ,,fisiem inazidi kujizolea point kwa kuwakamara wasiojuilikana feki
Usibishe,

Hao ni ndo wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…