Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Ni kweli kabisa sehemu kubwa ya Wabongo ni hovyo sana. Kwenye jamii ya Wafugaji kama Mikoa ya Mara, Mwanza, Geita, Shinyanga na Arusha huwezi kuta kitu kama hicho. Mwanaume akipiga nduru ya kuomba msaada kila atakaesikia wa jamii hizo kuna msukumo wa ndani mwake unaomtaka atoke akatoe msaada. Yaani ni bora akafie kwenye tukio kulikoni ndani mwake.😃🤣 asirudishe vipi wakat alishaenda kurepot kituo cha polisi na nina uhakik ata iyo pingu alifunguliwa uko uko na kuiacha uko uko
Ila wabongo ni wapumbavu sana yaani mtu anatekwa mbele ya macho yao wapo wapo tu kama mazezeta vile
Hebu nikupe mfano wa uwoga wa Wabongo "miezi michache iliyopita niliona clip ya Dereva wa basi la abiria la Tanzania akiamrishwa kushuka chini na dereva wa lorry la Rwanda. Huku akiwa kashika bomba lakufungulia tairi mkononi. Alimshushia kipigo huku Wabongo wakitulia bila hata kuwaamua au hata kuingilia kati kumtetea Dereva wa basi lao. Dereva yule alifia pale pale huku Wanyaruanda wakiishia kwa madaha. Sijui kesi ile ilikuja kuishiaje.