Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Huyu jamaa ni kama mvuta bangi...anavuta wee alafu kila matokeo yanakuja kwake ni suprise.
 
Kilichomuua bibi ni nini?? Je, ni aibu ya kumuona mjukuu akila kitu hadharani, au bibi anajua kuwa wema ni kisimi jeuri na hakupendezwa na kuwa na mjukuu?? Ila hawa mabibi wa mwendokasi..... Sasa Huko insta alifuata nini??
 
Taarifa niliozipata hivi punde kutoka kwa watu wa karibu na huyu Calisah ni chichamwiba yaani nusu punga.. Labda hapo baade Wema anaweza kutupa ushuhuda
huyu atakuwa ni punga ambaye anagonga na kugongwa maana kuna mapunga wengne hawasimamishi
 
Haya maisha bhana hawa picha wamepiga kwa makusudi na huenda wamevujisha kwa makubaliano anyway huyo dogo tumemjua tayari
 
Bibi aliingia instagram kufanya nini
 
Ndio ukomo dogo,Umeona sasa Future yako inaenda kuharibika.Achana na majima ya mjini yaliyoshindikana
 

Wema nae alikubali kurekodiwa iweje? I'm 100% aliyetoa hii video ninwema mpenda kukaa midomoni mwanwatu. Chances kubwa jamaa hakujua! Ila huyo dada yenu mnaemtetea mpenda attention
 
Kuna wanawake wengine ni laana,na hasemi pia kuwa hata mpenzi wake kamuacha,kampoteza bibi,hata waliokuwa wanamptia fedha zilizomla kibur hata cha kumdate wema nao hawakutaki tena,wema yeye anatupia tu picha mitandaon kama hakjatokea kitu....hawa malaya wa kitaifa achaneni nao vijana ohoo!!!
 
childish behaviour
 
Hayatuhusu hayo ni yao, mamtu mazima lkn akili kichwani hakuna. Wakati wanajirekodi walikuwa wanafikiri nini mxieeeew.
 
Huyu mtoto wa kike ipo siku isio na jina itafika hizo drama na hekaya zote zitakwisha atabaki mtu wa hovyo tu na watu wakimpita kama hawamjui vile zama siku zote zina time frame.
 
Huyu mtoto wa kike ipo siku isio na jina itafika hizo drama na hekaya zote zitakwisha atabaki mtu wa hovyo tu na watu wakimpita kama hawamjui vile zama siku zote zina time frame.
Yaan mi linaniudhi kweli, anatuabisha wadada. Sijui kwanini hawezi kuwa expensive ili apate mtu wa kuendana nae. Kweli ustar ni shida, mbona kujiheshimu ni simple tu na wala haigharimu kitu.
Kwanza kujiheshimu kuna raha yake maana ht mwanaume anajipanga kbs namna ya kukupata. Na pia huwezi fuatwa na hv vijanaume vya ajabu ajabu.
 
Ndio hivyo tena mwanamke mwenzenu huyo kajichagulia maisha ila kila jambo lina waqt wake ukiisha inabaki enzi zangu mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…