Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu atakuwa ni punga ambaye anagonga na kugongwa maana kuna mapunga wengne hawasimamishiTaarifa niliozipata hivi punde kutoka kwa watu wa karibu na huyu Calisah ni chichamwiba yaani nusu punga.. Labda hapo baade Wema anaweza kutupa ushuhuda
Kitaalamu wanaitwa bisexualshuyu atakuwa ni punga ambaye anagonga na kugongwa maana kuna mapunga wengne hawasimamishi
Nasemajeee.....sijawahi kutukana humu ila leo natukana....tena kwa herufi kubwa...huyo jamaa sijui calisah ni PUMBAVUUUUU....tena PUMBAVUUUUUUUU KABISAAAA!!!!! ...angekufa hata yeye pia....kwani alijirekodi ili iweje??????? PUMBAVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Model anayeitwa Calisah amedai video yake ya kimapenzi na wema iliyovuja imemsababishia majanga makubwa sana ikiwepo bibi yake kufariki kwa presha mara baada ya kuona hiyo video
pia amesema kuna mkataba wake na Oxfoam upo hati hati kuvunjika mara baada ya video hiyo
na amechanganyikiwa kwa sasa hivi
Ili wapate umaarufu! Simple....! Huoni sasa anazunguka kwenye media!!?Sijui wanamng'ang'ania Wema wa nini hawa
Wema ukike(Femininity) upo mwingi sana. wanaume tunapendaga sana hiyo. on other end of spectrum yupo Salama, sister P na Chemical.Hivi wanaume hua mnababaika na nini from Wema....i really don't get it at all[emoji53]
Yaan mi linaniudhi kweli, anatuabisha wadada. Sijui kwanini hawezi kuwa expensive ili apate mtu wa kuendana nae. Kweli ustar ni shida, mbona kujiheshimu ni simple tu na wala haigharimu kitu.Huyu mtoto wa kike ipo siku isio na jina itafika hizo drama na hekaya zote zitakwisha atabaki mtu wa hovyo tu na watu wakimpita kama hawamjui vile zama siku zote zina time frame.
Ndio hivyo tena mwanamke mwenzenu huyo kajichagulia maisha ila kila jambo lina waqt wake ukiisha inabaki enzi zangu mimi!Yaan mi linaniudhi kweli, anatuabisha wadada. Sijui kwanini hawezi kuwa expensive ili apate mtu wa kuendana nae. Kweli ustar ni shida, mbona kujiheshimu ni simple tu na wala haigharimu kitu.
Kwanza kujiheshimu kuna raha yake maana ht mwanaume anajipanga kbs namna ya kukupata. Na pia huwezi fuatwa na hv vijanaume vya ajabu ajabu.