Yaan mi linaniudhi kweli, anatuabisha wadada. Sijui kwanini hawezi kuwa expensive ili apate mtu wa kuendana nae. Kweli ustar ni shida, mbona kujiheshimu ni simple tu na wala haigharimu kitu.
Kwanza kujiheshimu kuna raha yake maana ht mwanaume anajipanga kbs namna ya kukupata. Na pia huwezi fuatwa na hv vijanaume vya ajabu ajabu.
Ha ha ha ha haWema nilimtamani alipotangazwa Miss Tanzania
siku ile wazazi wake wanasema 'kapotea' eti hajulikani alipo
kumbe yuko hotelini na kigogo wa Voda niliumia kama nimenyang'wanya girlfriend...
hapo alikuwa mbichii sana...sio Wema huyu
Inaelekea wema mtamu sana aroooopSijui wanamng'ang'ania Wema wa nini hawa
Itakuwa ni ajabu Wema asiwe nao!Wema nilimtamani alipotangazwa Miss Tanzania
siku ile wazazi wake wanasema 'kapotea' eti hajulikani alipo
kumbe yuko hotelini na kigogo wa Voda niliumia kama nimenyang'wanya girlfriend...
hapo alikuwa mbichii sana...sio Wema huyu
Km umejirank sawa na hako kajamaa ka wema, kimpango wako. That's up to you.Alooo sijui tufanye nini sisi vijanaume vya ajabu
Last time ulikuwa lini Ibiza ? Nafikiri sasa hivi upo Hawii next week Luxembourg ,wiki inayofuata Paris kabla ya Xmass nadhani utaenda ku skii huko Bavaria
Eeh Mungu mimi nakula katikati ya mchana na usiku
Nasikia anatoa tgo ndo manaHivi wanaume hua mnababaika na nini from Wema....i really don't get it at all[emoji53]
Hahahaha mkuu mi nilijua utatukana kweli mbona sijaliona tusi hapoNasemajeee.....sijawahi kutukana humu ila leo natukana....tena kwa herufi kubwa...huyo jamaa sijui calisah ni PUMBAVUUUUU....tena PUMBAVUUUUUUUU KABISAAAA!!!!! ...angekufa hata yeye pia....kwani alijirekodi ili iweje??????? PUMBAVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Nilijua video itakuwa kama ile ya Kim na Ray kumbe hovyo tu dogo kakutana na kichaaKavideo kenyewe hakana utamu mi nilijua boooooonge la video, cha kumuua bibi mtu mbona sikioni mtu unaweza kufa kisa umeona mjukuu anakula denda!!! siku zake za kufa zilikuwa zimefika dogo aache miyeyusho.
Kazi kweli kweliNasikia anatoa tgo ndo mana
Huu ubuyu umechukua maisha ya bibi yake calisa.Shilawadu shilawadu nawaona nawaona mnakula tu ubuyu.
Ha ha ha ha ha yani nimecheka jamani afu soudy alivo mbea eti anauliza taratibu za mazishi zikoje ha ha haHuu ubuyu unechukua maisha ya bibi yake calisa.
In short wema kaua.