Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Polisi wamkamate kwa kosa la kuua bibi yake.... Maana si kashasema tayari sababu ni yeye
 
Yaan mi linaniudhi kweli, anatuabisha wadada. Sijui kwanini hawezi kuwa expensive ili apate mtu wa kuendana nae. Kweli ustar ni shida, mbona kujiheshimu ni simple tu na wala haigharimu kitu.
Kwanza kujiheshimu kuna raha yake maana ht mwanaume anajipanga kbs namna ya kukupata. Na pia huwezi fuatwa na hv vijanaume vya ajabu ajabu.

Alooo sijui tufanye nini sisi vijanaume vya ajabu

Last time ulikuwa lini Ibiza ? Nafikiri sasa hivi upo Hawii next week Luxembourg ,wiki inayofuata Paris kabla ya Xmass nadhani utaenda ku skii huko Bavaria

Eeh Mungu mimi nakula mpakani mwa mchana na usiku
 
Huyu dada malaya jamani duuu sijapata ona hana tofauti na wale wa buguruni, very cheap yani na ustaa wake.
 
Wema nilimtamani alipotangazwa Miss Tanzania
siku ile wazazi wake wanasema 'kapotea' eti hajulikani alipo
kumbe yuko hotelini na kigogo wa Voda niliumia kama nimenyang'wanya girlfriend...
hapo alikuwa mbichii sana...sio Wema huyu
Ha ha ha ha ha
 
Itakuwa ni ajabu Wema asiwe nao!
 
Alooo sijui tufanye nini sisi vijanaume vya ajabu

Last time ulikuwa lini Ibiza ? Nafikiri sasa hivi upo Hawii next week Luxembourg ,wiki inayofuata Paris kabla ya Xmass nadhani utaenda ku skii huko Bavaria

Eeh Mungu mimi nakula katikati ya mchana na usiku
Km umejirank sawa na hako kajamaa ka wema, kimpango wako. That's up to you.
 
Nasemajeee.....sijawahi kutukana humu ila leo natukana....tena kwa herufi kubwa...huyo jamaa sijui calisah ni PUMBAVUUUUU....tena PUMBAVUUUUUUUU KABISAAAA!!!!! ...angekufa hata yeye pia....kwani alijirekodi ili iweje??????? PUMBAVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Hahahaha mkuu mi nilijua utatukana kweli mbona sijaliona tusi hapo
 
Kavideo kenyewe hakana utamu mi nilijua boooooonge la video, cha kumuua bibi mtu mbona sikioni mtu unaweza kufa kisa umeona mjukuu anakula denda!!! siku zake za kufa zilikuwa zimefika dogo aache miyeyusho.
Nilijua video itakuwa kama ile ya Kim na Ray kumbe hovyo tu dogo kakutana na kichaa
 
Hajui nini ni keamba hakumbuki kati ya yeye na huyo mwanamke nani alirekodi au walikuwa wanarekodiwa na mtu wa tatu aliyeangalia mchezo wao... kweli kiki anaipata
 
Back
Top Bottom