Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kasauti katamu ka kubembelezeaHivi wanaume hua mnababaika na nini from Wema....i really don't get it at all[emoji53]
Haaaaaaa sasa hapo katiwa yeye wewe umeaibikaje tehYaan mi linaniudhi kweli, anatuabisha wadada. Sijui kwanini hawezi kuwa expensive ili apate mtu wa kuendana nae. Kweli ustar ni shida, mbona kujiheshimu ni simple tu na wala haigharimu kitu.
Kwanza kujiheshimu kuna raha yake maana ht mwanaume anajipanga kbs namna ya kukupata. Na pia huwezi fuatwa na hv vijanaume vya ajabu ajabu.
Mmm apart from sauti je?Ana kasauti katamu ka kubembelezea
Mmm apart from sauti je?
😀😀😀😀😀Wema ndo the most famous woman in Tanzania...
wanaomfata wanataka kuwa famous na wao
hata Jlo ana miaka zaidi ya 40 na keshazaa but wapo watu wanatamani kuwa nae
hata dakika 15 tu waonekane....
Khadijah Kopa tu kuna vidume vinamtamani havimpati itakuwa Wema?
Kumbe ni fame tu??? Basi hua najiuliza men wanamsema katumika sana,mara sijui papuchi yake itakua haifai mara ana michirizi etc and yet they are the very first people wanao wish kupata at least 15 minutes ya kulala nae....au ndo nyotaaaa[emoji87] [emoji53]Wema ndo the most famous woman in Tanzania...
wanaomfata wanataka kuwa famous na wao
hata Jlo ana miaka zaidi ya 40 na keshazaa but wapo watu wanatamani kuwa nae
hata dakika 15 tu waonekane....
Khadijah Kopa tu kuna vidume vinamtamani havimpati itakuwa Wema?
Kumbe ni fame tu??? Basi hua najiuliza men wanamsema katumika sana,mara sijui papuchi yake itakua haifai mara ana michirizi etc and yet they are the very first people wanao wish kupata at least 15 minutes ya kulala nae....au ndo nyotaaaa[emoji87] [emoji53]
Mie nasemaga "wanaume ni kama panya, wao ilmradi tu kitobo wanaingia"Kumbe ni fame tu??? Basi hua najiuliza men wanamsema katumika sana,mara sijui papuchi yake itakua haifai mara ana michirizi etc and yet they are the very first people wanao wish kupata at least 15 minutes ya kulala nae....au ndo nyotaaaa[emoji87] [emoji53]
[emoji23] asee,naomba niibe hako kamsemo kakoMie nasemaga "wanaume ni kama panya, wao ilmradi tu kitobo wanaingia"
"nitampata lini" wako ni nani?Hata Bi Kidude alikuwa na vidume vinajiuliza 'nitampata lini'
ndo miujiza ya maisha...
Bibi ake yuko insta...wengine wata kutag...[emoji444] [emoji445]Mpaka sasa naamini huyo jamaa yupo katika mchakato wa kutafuta KIKI.. jiulize bibi aliipataje?
Hata wanaomdis wakipewa kitobo wanaingia, panya chake kitobo[emoji23] asee,naomba niibe hako kamsemo kako
"nitampata lini" wako ni nani?
Mie ni Marc Anthony ha ha ha
Mie nasemaga "wanaume ni kama panya, wao ilmradi tu kitobo wanaingia"
katobo dah
Yeah nilisikia pia, kwamba aliolewa.Alikuwa Corozan Kwamboka...
Bongo orodha inabadilika kila mara
kale ka Meninah Atik kalikuwa kananisisimua nasikia keshaolewa
Yeah nilisikia pia, kwamba aliolewa.
Corazon yupo vizuri sana
Haumtamani Tanzania sweetheart, kile kisauti fulani hivi....