Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

Mpaka sasa 29, 9 ,zimeleta usawa , wanamziki chali , baskeli ,pikipiki za ccm chali, wajumbe bendera hakuna, jezi za ccm hazivaliki sijui wanetupa ,wapi


ni muhimu kuwa makini na kufata mkumbo
 
Hata usipo andamana haupo salama utauliwa kwa kutekwa na serekali ya Samia. Andamana kupinga utekaji na MAUAJI na vifo vya nje ya mahakama.
usifate mihemko muu linda u ha I wako
 
Huyu jamaa anahitaji daktari wa hakili, sizani kama usingizi anapata
 
anaitwa captein TESHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…