FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Mie hata sijui ban yao waliopigwa JF imeisha lini?F.F
Long time sana,vijana wa wavaa magauni hadi wamenenepeana kwa uhuru na kauli zao za shombo jukwaani hapa.
Walizowea sana kupiga watu ban, walijisahau kuwa na wao wana wababe wao.