Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Wameleta maafa makubwa sana hawaMANGE DISEASE. TESHAS SYMPTOMS
Wameleta maafa makubwa sana hawaMANGE DISEASE. TESHAS SYMPTOMS
Nimekuelewa vizur sana chiefHapo mimi ndipo ninawashangaa sana wavaa magauni na wapiga nyeto wa TEC
Pindi hamasa ya vurugu inafanywa wao wamekaa kimyaaa...
Vurugu zimeanza na serikali imechukua hatamu kuinusuru nchi haoo wanakuja na magauni yao eti serikali ijieleze...
Ijieleze kwao wao kama nani??shenzy kabisa
Huu ushuzi umerudi tena, mdini kuliko big show kibibi huyu, kipuuzwe tuuNakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.
Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
Lete ushauri wako wewe tuuoneUnajionaga wa maan na vishauri vyako
Kumbe snitch
Tulikushitukia🤣🤣
KIJANA KATAA KUWA CHAMBO LINDA UHAI WAKO UMEONA ILE 29/10 MLIVYODANGANYWAHuu ushuzi umerudi tena, mdini kuliko big show kibibi huyu, kipuuzwe tuu
FactMbona wewe mkuu hukutoka wakutwange ya kichwa kama wale nyumbu promax mliowadanganya? Au wewe ni kati ya wale Keyboard Warriors?
Huwezi kupinga hili,watu walijua polisi hawapo pamoja na wananchi,lkn walipo aminishwa kuwa jeshi lipo pamoja nao ndio walipata nguvu ya kuingia roadWatu walitoka baada ya kuchoka chaguzi kuchezewa, na sio kwakuwa wangelindwa na jeshi. Hiyo kutopigwa na jeshi ni jambo lililowashangaza kwani mara zote jeshi huwa linatumika na watawala wezi kuwaziba midomo wasionyeshe hisia zao.
Muda wa kuwakumbusha wananchi amani ya nchi ni muhimu,wasikubali kuichoma nchi yao kwa mchezo wa watu wengine wenye maslahi yao binafsiChawa ndo muda wenu huu pimbi nyie
unatumia VPN Gani?
Kweli kiazi ni kiazi tu!
Hawawezi kuikwepa lawama,wamechangia sana kusababisha vijana wetu kupoteza maishaKWA HUU UJINGA WALIOFANYA WANATAKA TUSIWAPE HIZI LAWAMA
EBU ONA UPUMBAVU WALIOKUWA WAKIFANYA KUELEKEA 29/10
Itundikwe ukutani kila mtu aioneN.B MIMI HAYA LAND AU HOV (HEAD OF THE VISION)
SIJAFURAHISHWA NA KILICHOTOKEA 29/10
ILA KWAKUWA NILIKUWA OFFLINE MIEZI MIWILI
SIKUWEZA KU-NOTICE NINI HASA KILITOKEA
NILIONA NIANZE NA KUFANYA UTAFITI KAMA MTAALAMU WA KUTATUA MIGOGORO YA KIJAMII
NILIPATA MAJIBU YAFUATAYO
MADHARA MAKUBWA YALITOKANA NA MATUMIZI YA DARK PSYCHOLOGY AU SAIKOLOJIA YA GIZA (NYEUSI)
AMBAYO ILIUNDWA NA WANAHARAKATI WA MITANDAONI WAKIONGOZWA NA MANGE KUWA JESHI LITAWALINDA WAANDAMANAJI
HII ILIPELEKEA VIJANA WA MTAANI AMBAO HAWANA UELEWA WA KINA WA MAMBO YA SIASA NA MAANDAMANO KUINGIA BARABARANI .
HIVYO MISTEGEEMEE MIMI HAYA LAND AU HOV NIKAE KIMYA BILA KUSAMABZA AWARENESS KWA VIJANA NA KUUA VURUGU NA MAANDAMANO ENDAPO NIKAA KIMYA NITAKUWA SINA UTOFAUTI MA WALE WOTE WALIOSAMABAZA UONGO
WANASIASA WAO HUWA HAWANA UGOMVI WA KUDUMU WANATOFAUTIANA KWA MUDA ILA WEWE UKIANDAMANA KWA AJILI YA MWANASIASA ATAKAYEUMIA NI WEWE NA FAMILIA YAKO
REJEA KULE KENYA MWAKA 2007 JE WALIOKUFA NA KUPATA ULEMAVU FAMILIA ZAO ZINAISHIJE KUNA MTU ANAZIJALI?
HIVYO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU LINDA UHAI WAKO
Vyovyote iwavyo, binafsi nakubaliana na namna yoyote ya kupambana na serekali dhalimu kama hii ya Samia na genge lake.Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO
DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
TEGEMEA SIASA ZA AKILI ZAIDI TUPO HAPA KUWALINDA WATZ NA SIO KUWALISHA UONGO.Naona magaidi wanajipiga dolle na kunusa huku wakitegemea harufu tofauti, hz akili za madraasa bhn
Uko madrasa ulienda kusomea ushogaF.F
Long time sana,vijana wa wavaa magauni hadi wamenenepeana kwa uhuru na kauli zao za shombo jukwaani hapa.
Uko madrasa ulienda kusomea usagaji,msagaji mzee weweNakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.
Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
PINGA MAUAJI NA UTEKAJI HATAKWA GHARAMA YA DAMU. USIABUDU SEREKALI YA KIHUNI INAYOTEKA NA KUUA RAIA.KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO
Say no demonstration ❌PINGA MAUAJI NA UTEKAJI HATAKWA GHARAMA YA DAMU. USIABUDU SEREKALI YA KIHUNI INAYOTEKA NA KUUA RAIA.