Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Na hiyo salary, hajaweka extra duty ya 900,000/- na incentive , na malipo mengine
Yaani mafanikio yanaonesha kabisa wala hayajifichi ,huyu anafikiria kuna mafanikio ya siri🤣🤣🤣Aweke hat poll hapo kambini kwao ,wachgue Jeshini au TRA.
 
Mwambie atajw degree kwao ,nakunyq hapa mpaka Muheza....Hao wasiokufa maafisa wa degree , ukiachana na wale wakuu basi wote ni kuruta.
Za huku hazitajwagi kjn ila ni pesa nono, kuna majukumu wakipewa watu (ni ya hatari) anarudi na 40m-80m, wewe mpaka upate hizo mpaka utuibie kodi zetu.
 
Kwenye degree nimekupiga kwanza naongoza !

Kumbuka afisa forodha msaidizi ana ngazi ya diploma au certificate , inategemea na uzeofu wake..Wwe weka mishahara ya kuruta hapa.

View attachment 3318822
Hivi mshahara unawezaje kupanda kutoka milioni moja mpaka milioni tatu, yaani kwa 200%, hapo umetupiga
 
Mwambie ataje atakuwa degree kwao ,nakunyq hapa mpaka Muheza....Hao wasiokuwa maafisa wa degree , ukiachana na wale wakuu basi wote ni kuruta.
Na hiyo salary, hajaweka extra duty ya 900,000/- na incentive , na malipo mengine
Umeambiwa mishahara unaruka ruka , majukumu yapi hayo ya hatari si mngekuwa mnamiliki mijengo mikubwa 🤣🤣...Mwenzio wakati wewe ,unafikiria nafasi zinatoka Bure

Wewe ulienda lini ? Unaoneka hauna degree ...TRA wenzio wanachota huko ,mtu kupewa mil 10 kitu cha kawaida.
 
Za huku hazitajwagi kjn ila ni pesa nono, kuna majukumu wakipewa watu (ni ya hatari) anarudi na 40m-80m, wewe mpaka upate hizo mpaka utuibie kodi zetu.
Hiyo ni ile mtu akienda kwenye mission, tena the whole year if I'm not mistaken,
Ofisa wa tra akienda kukaa nje ya nchi mwaka mzima akirudi pesa atakayolipwa ni zaidi ya milioni 300, kwa sababu inapigwa hesabu ya per diem ya nje ya nchi ambayo ni more than 1+per day
 
Kuchota unamaanisha nini? Kuiba?

Halafu nipigie mahesabu, mshahara wa milioni mbili unajengaje ghorofa kama siyo wizi?

Majukumu ya hatari siyo lazima uyafahamu
 
Ndo iwe kwq asilimia 300%, kwa akili za kawaida inaingia akilini hiyo?
Hiyo ni tra inawezekana,
Huko ndio kwenye hela bwashee, madili, magumashi, yote yapo huko
 
Kuchota unamaanisha nini? Kuiba?

Halafu nipigie mahesabu, mshahara wa milioni mbili unajengaje ghorofa kama siyo wizi?

Majukumu ya hatari siyo lazima uyafahamu
Majukumu gani hayo mnarudi maiti ,🤣🤣🤣mwenzio wana kesi za mabilioni unaenda kupambania ugomvi haukuhusu
 
Za huku hazitajwagi kjn ila ni pesa nono, kuna majukumu wakipewa watu (ni ya hatari) anarudi na 40m-80m, wewe mpaka upate hizo mpaka utuibie kodi zetu.
Mkuu hii ni kamba ya manila unawapiga wadau humu.

Kuna wanangu walienda kulinda amani kupitia UN Sudan zaidi ya miaka miwili lakini hawana maisha yoyote ya maana nipo nao mtaa mmoja.

Sasa fikiria mtu kaenda huko Sudan zaidi ya miaka miwili lakini akirudi hana cha maana sana zaidi ya kula bata siku chache halafu anarudi tena kuishi maisha yasiyoeleweka na kukopa maduka ya mtaani.

Mmoja kati ya hao wawili anamiliki gari ya kizamani zile Toyota Chaser imechoka hata upewe bure utainyanyapaa mkuu.

Hao watu hawana mishahara mikubwa kama watu wanavyodhani maana nawafahamu pengine kuliko unavyowafahamu mkuu.

Kazi yoyote inayoenda kwa jina la 'uzalendo kwanza' usitegemee maslahi makubwa kamwe isipokuwa uzalendo ndiyo kipaumbele.
 
Hao uliokutana nao ni mazwazwa kijana, hizo ulizoziona hapo ndo extraduty zao zinazowainua.
 
Kwenye degree nimekupiga kwanza naongoza !

Kumbuka afisa forodha msaidizi ana ngazi ya diploma au certificate , inategemea na uzeofu wake..Wwe weka mishahara ya kuruta hapa.

View attachment 3318822
Kwahiyo umegugo mitandaoni na kutuletea vitu vya upotoshaji? Hizo si nyuzi za mitandaoni ndo unatuletea kama screenshot? Hebu tazama unavyoumbuka
 

Attachments

  • Screenshot_20250428_195027_Google.jpg
    217 KB · Views: 19
Kwahiyo umegugo mitandaoni na kutuletea vitu vya upotoshaji? Hizo si nyuzi za mitandaoni ndo unatuletea kama screenshot? Hebu tazama unavyoumbuka
Namimi nikikuletea screenshot zangu za mitandaoni kama wewe ilivyoleta, zinazoonyesha afisa wa degree wa TRA ambaye salary scale yake ya TRAS4 ni 1.8 mil, utasemaje? Soma nawewe hizo screenshots uone. Mnadanganya watu
 

Attachments

  • Screenshot_20250428_195857_Chrome.jpg
    216 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250428_200333_Chrome.jpg
    237 KB · Views: 19
  • Screenshot_20250428_200358_Chrome.jpg
    238 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250428_195421_Chrome.jpg
    251.2 KB · Views: 17
Akae mwaka mzima huko anafanya nini?
 
Sasa mimi nina ushahidi na maendeleo yaliyotokana na fedha hizo ninazosema, na hapo unasemaje? Ukiona mtu analipwa nyingi afu hana maendeleo, kama siyo kuwa na majukumu mengi ya kutegemewa na ndugu, basi ni matumizi mabaya ya fedha either ulevi au umalaya.
 
Hiyo ni tra inawezekana,
Huko ndio kwenye hela bwashee, madili, magumashi, yote yapo huko
Hakuna hicho kitu kijana, mwaka 2022 Presidaa aliongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23%(kwa waliokuwa wanalipwa mishahara midogo), walio na mishahara mikubwa walipandishiwa kwa asilimia ndogo kuliko 23, sasa TRA ndo wajipandishie kwa asilimia 300 (yaani kutoka milioni moja mpaka milioni tatu) hiyo inakuja kweli? Kwamba wanajipandishia tu bila kuwa regulated na mamlaka yeyote?

Hata kwa akili ya kuzaliwa, kupandishwa gani huko kutoka 1mil mpaka 3 mil, inaingia akilini?
 
Kwahiyo umegugo mitandaoni na kutuletea vitu vya upotoshaji? Hizo si nyuzi za mitandaoni ndo unatuletea kama screenshot? Hebu tazama unavyoumbuka
Unakataa nin au wivu ,wewe jamaa unaonesha kabisa elimu ni ndogo ,una wivu ...Udanganywa kama unaaminishwa mna mishahara mikubwa ...Usijifananishe na TRA hata wewe ungeenda tatizo uwezo mdogo.
 
Kaulize taasisi ngapi zimejiongeza mwaka 2023 na Taasisi hazifuati kalenda ya mwaka wa fedha ..Wao wanapeleka proposal ya mishahara then inakuwa aprove ,muda wowote hata mwezi wa pili wanaweza kubadilisha mishahara..TRA wamebadilisha na Taasisi nyingi kama unabisha njoo inbox uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…