Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Kwenye degree nimekupiga kwanza naongoza !

Kumbuka afisa forodha msaidizi ana ngazi ya diploma au certificate , inategemea na uzeofu wake..Wwe weka mishahara ya kuruta hapa.

View attachment 3318822
Kingine ambacho ni uongo tena mkubwa kabisa kwenye hii screenshot yako, kwa mujibu wa hiyo screenshot, kabla ya kupandishwa huko (ambapo ni uongo) inamaana afisa forodha msaidizi(diploma holder) na afisa forodha (bachelor holder) [kama nimekosea viwango vya elimu nisahihishe] it means wote walikuwa wanalipwa milioni moja, ndomaana uksasema huyo afisa forodha msaidizi akapanda kutoka 1mil mpaka 2mil, na afisa forodha naye akapanda kutoka 1mil mpaka 3 mil.

Yaani afisa forodha msaidizi na afisa forodha (ambavyo ni vyeo viwili tofauti) wote kabla ya kupanda walikuwa wanalipwa mshahara sawa Yaani milioni moja, inawezekanaje watu wenye cheo tofauti (probably mmoja ni degree mwingine ni diploma) walipwe mshahara sawa?

Huo si uongo wa mchana kabisa? Yaani hata hamjui kudanganya? Hapo hata mtoto mdogo anawashtukia, hata kama mmepanga kudanganya, itabidi uongo uendane na ukweli, siyo mnakopi screenshot za nyuzi za mitandaoni ndo mnatupestia hapa.


HITIMISHO.

Kwanza mishahara mliyopost ni ya uongo, ina ukakasi mwingi.

Pili hata ingekuwa ni mishahara ya kweli, bado siyo ya kutisha mtu, siyo kwa makamanda wala taasisi zingine zinazolipa, hata ukiidabo, rubani ndo humfikii kabisaa, na kwa namna hiyo, hata TPDC wamewapiga gap.
 
Afisa forodha alikuwa analipa mil 2.3 na mwingine alikiwa anacheza 1.2 mpaka mil.5.


Wewe hauna hiyo pesa ni wivu kwa vile umeishia form four 🤣🤣🤣na elimu umeshindwa ,hizo Taasisi hauwezi kwenda baki kuwa kuruta hapo... Mishahara gani mnaficha kama bangi na bado mnatukopo huku mtaani... Fuatilia Liverpool Vpn aliweka scale zao za awali kama ulikuwa unasinzia...

Wewe haifiki ni wivu wa kudanganywa kama kuna mna mishahara mikubwa ,haumani macho yako mpaka sasa.
 
Kjn mimi siyo form four, nina elimu kubwa tu.
Ngoja nikuulize, afisa forodha ni bachelor holder? (Maana kiserikali afisa ni mwenye shahada)
 
Kjn mimi siyo form four, nina elimu kubwa tu.
Ngoja nikuulize, afisa forodha ni bachelor holder? (Maana kiserikali afisa ni mwenye shahada)
Nimekuambia tulinganishe ngazi ya degree umekimbia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..Kwa nn hautaki afisa ngazi ya Degree..Haujajibu kuruta!
 
Nimekuambia tulinganishe ngazi ya degree umekimbia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..Kwa nn hautaki afisa ngazi ya Degree..Haujajibu

Nimekuambia tulinganishe ngazi ya degree umekimbia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..Kwa nn hautaki afisa ngazi ya Degree..Haujajibu kuruta!
Umeona matatizo yako, jibu swali lililoulizwa unashida gani kichwani? Ngoja niyaunganishe ili nisikuchoshe.

1) afisa forodha msaidizi ni diploma holder? Na afisa wa firodha ni bachelor holder?

2), so kwa jibu ulilotoa pale juu, inamaana afisa forodha aliongezewa mshahara kutoka 2.3 mil mpaka 3mil, na afisa forodha msaidizi akaongezewa kutoka 1.2mil mpaka 2mil?

Jibu direct bila kukimbia kimbia.
 
Najua wanalipwa fedha kwa ajili ya kulinda amani tena in terms of dollar lakini napingana na wewe kwenye figure ulizotaja mkuu.

Nazungumza kitu ninachokifahamu sio mpaka niseme ni nani wangu wa karibu ambaye amehudumu na bado ana mchongo wa kwenda kuhudumu sehemu fulani kwenye majukumu haya haya ya kulinda amani.

Tena mwingine alienda Lebanon kwenye majukumu haya haya ya kulinda amani so malipo ni ya kawaida sana mkuu.

Zingatia neno 'uzalendo' kama kigezo muhimu cha kuingia kwenye ajira hii.
 
Wewe Haujajibu hata moja kuruta unapiga kelele ,swali nimekuuliza kule mwanzo ila haujajibu umebaki unaonesha wivu wa kishamba..🤣🤣🤣Hakuna swali langu umejibu zaidi ya kujifunza tu.

Hata hao TRA hawawezi kukuambia kila kitu ila mafanikio wao yanaonekana ..Mwana 2023 watu wamebadilisha sana mishahara na posho
: ,Zipo Taasisi kwa sasa per diem ni 250k per day kutoka 180k..


Baki hapo na wivu wako maana hamna swali unajibu .
 
Bado hujajibu swali, jibu yale maswali ndo tuendelee wacha kukimbia kimbia.
 
Niwe na wivu kwa mshahara wa 2.3mil !!!
 
Niwe na wivu kwa mshahara wa 2.3mil !!!
Sasa haujibu umekimbia ,afisa wenu unamuonea huruma na afisa ya TRA...We form four landa utoke mvi ndio utapata mshahara huo🤣🤣
 
Niwe na wivu kwa mshahara wa 2.3mil !!!
Haujajibu swali hata moja , Kiufupi kama unajifunza ...Nimebold swali bado unaruka ruka..Hauwezi kuwa na akili Wakati hujui kama kuna certificate , wewe unaongelea la saba. na form four tena mwaka 2025....We umepumbaa na elimu kwako ni tatizo ,ushazoea kutii order bila ya kuhoji ..Wewe kiufupi ni darasa la saba unaleta usumbufu 🤣🤣na wivu wa kishamba..

Mngekuwa na hizo pesa basi mngekuwa na mijengo mpaka watu wakawa wanawasem; Kitu unachojua kwamba mnaambiwa mna mishahara mikubwa kuliko wengine basi hamna kitu kama hicho ,wangejaa watoto wa viongozi huko kama wote : Nenda BOT ukaone watoto wa viongozi
 
Umesema nchi za kimafya ni US na Europe, Uswis yenyewe iko bara gani mkuu?
 
Kwani wanajeshi wakipewa tar 19 mpk 19 next months na kada nyengn 23 mpk 23 nani aliependelewa
Swali fikirishi hili.
Ni sawa na kuuliza: binadamu anayeishi miaka mingi na yule anayekufa mapema ni yupi mwenye faida?
Ukifanya uchambuzi, majibu yake yanagota katika mstari mmoja.
 
Sasa haujibu umekimbia ,afisa wenu unamuonea huruma na afisa ya TRA...We form four landa utoke mvi ndio utapata mshahara huo🤣🤣
Nikukimbie mtu usiye na hoja na kujubu swali la msingi? Nilikuwa kwenye majukumu, unafikiri mimi ndo kama wewe jobless kila saa mitandaoni hizo kazi unafanya saa ngapi?
 
Sasa kama afisa wa TRA mwenye degree analipwa milioni tatu mbona afisa kamanda aliyeingia kazini hivi karibuni mwenye degree yake yupo juu kuliko afisa TRA huyo? Hiyo 3mil ni hela ya kawaida ambapo taasisi nyingi tu zinakuzidi.

Halafu unavyoniita mimi darasa la saba nakushangaa, tungekuwa tunajuana natamani tungeonyeshana vyeti kuanzia vya form four hadi chuo kikuu, tuone kama maksi nilizonazo wewe ungepata, au fani/masomo niliyosoma tuone kama wewe ungetoboa.
 
Nikukimbie mtu usiye na hoja na kujubu swali la msingi? Nilikuwa kwenye majukumu, unafikiri mimi ndo kama wewe jobless kila saa mitandaoni hizo kazi unafanya saa ngapi?
Hoja na haujawahi kujibu ,unatoa macho tu na form four yako🤣🤣ungejibu hata moja ukaona.
 
Hiyo pesa si useme ili uoneshe salary slip na watu walipo sasa ...Weka hata poll uone nan yuko juu zaidi.
 
Tuwekw mimi na wewe salary slip zetu uone...!

Afisa kamanda ni nan?
 
Tuwekw mimi na wewe salary slip zetu uone...!

Afisa kamanda ni nan?
Huelewi nini hapo? Kamanda mwenye cheo cha begani mwenye degree, anakuzidi na hiyo 2.3mil yako, ni ndogo mno kwake, wacha kubisha usivyovijua, halafu exactly amount nilisema sitaji, maana hicho ndo unachong'ang'aniq kuwa sijakijibu, jambo ambalo nilishasema siwezi kuexpose humu.

Sasa afisa TRA mwenye degree, tumlinganishe na kamanda mwenye degree mwenzie ambaye ana cheo cha begani (Degree ni kigezo cha kuvaa nyota, japo wapo form six wanaozivaa pia). Tukilinganisha wawili hao, hiyo 3mil ni ndogo so umepigwa gepu kaa kwa kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…