🤣🤣🤣Kama ofisini kwako hamna computer basi tafuta kazi nyingine ..Kama haujawahi kupewa hata laptop acha hiyo kazi .Mzee omba Mungu upate kazi uache kushinda humu maana hata ujasiriamali umekushinda, shemeji yako anafanya kazi TRA amefunga wi-fi hapo home wewe kutwa kucha kusumbua watu kwa upotoshaji
Sasa kipi kimeongeza hapo ni kama annual incremental 🤣🤣🤣ni mule ule acha zako ..Hao wanajeshi wameongezewa kutoka hapo mpaka mil 4.5 kutokana na jamaa yenu hapo juu .You are right mkuu, sasa huyu mamba humu yeye anapotosha sana halafu tukimwambia anakaza fuvu labda anaweza kuamini kwa kuwa ni mtu tofauti ambae amemthibitishia
Huyo rafiki yako ni mbumbumbu afu hata yeye hajielewi anachokisema. Anasema polisi na JW wapo wizara moja, nahuku polisi wapo wizara ya mambo ya ndani na JW wapo wizara ya ulinzi, hata screenshot aliyoipost haielewi, kakwapua mitandaoni bila kuisoma, kaipost humuLakini huyo jamaa hoja yake kuu ni jwtz tu sio police wala prison,
Kwa majeshi jwtz ni kweli wako mbele kuliko mambo ya ndani,
Afadhali hata umeliona hilo, wasomi tunajadili hoja kwa facts, siyo kulishana maneno ambayo hatujasema, pia anatumia defence mechanism ya kishindwa hoja kwa kutoa maneno machafu ya kashfaHuyu jamaa kweli inaonekana hajasoma maana sio kwa ubishi huo halafu mda wote yupo humu😂😂 mzee unafanya kazi saa ngapi au ndo kama jamaa alivyosema hapo juu kuwa wewe ni jobless unasumbua humu kutwa kushinda humu
Nani kataja amount ya 4.5mil? Hebu niquote, mbona unanilisha maneno?Sasa kipi kimeongeza hapo ni kama annual incremental 🤣🤣🤣ni mule ule acha zako ..Hao wanajeshi wameongezewa kutoka hapo mpaka mil 4.5 kutokana na jamaa yenu hapo juu .
Mbona screenshot uliyopost wewe ya nuongeza kutoka 1mil mpaka 3mil ya TRA huishangai? Na umepost wewe?Sasa kipi kimeongeza hapo ni kama annual incremental 🤣🤣🤣ni mule ule acha zako ..Hao wanajeshi wameongezewa kutoka hapo mpaka mil 4.5 kutokana na jamaa yenu hapo juu .
Nimekufafanulia ila kwakuwa ni kichwa maji, ngoja nirudie tena, ninaposema kamanda, namaanisha ni mtu wa jeshi hili ninaloliongelea, simaanishi kamanda wa wilaya, ninaposema afisa, namaanisha mwenye nyota begani, naongea kwa codes, sitaki kutaja vitu clearly kwa chombo hicho, yaani itabidi nice nakufundisha kama mtoto wa chekechea.Hii imesomwa lin ? Jamaa yako namueleza kuhusu entry level ya nyota ,anasema eti afisa kamanda🤣🤣🤣Hakunq mtu anaingia jeshini na kuwa makanda hata polisi.
SAsa kelele za nn na haufiki hapo , hatuwezi kuongeaNani kataja amount ya 4.5mil? Hebu niquote, mbona unanilisha maneno?
Hadi jamaa wengine wamekuona kuwa wewe no zwazwa wameamua kuingilia kati
Nimekuambia TRA n wewe post tena kumbuka ni entry level usilete drama zako za afisa kamanda🤣🤣🤣unaficha kama hauna hauna .Mbona screenshot uliyopost wewe ya nuongeza kutoka 1mil mpaka 3mil ya TRA huishangai? Na umepost wewe?
Sasa huoni kama wewe ni kiande ,kuna anayeanza tu na kuwa makanda ..Kama ipo toa ushahidi .. Form four huo ndio uwezo wako wa kufikria .. Narudia tena tunaongelea entry levelNimekufafanulia ila kwakuwa ni kichwa maji, ngoja nirudie tena, ninaposema kamanda, namaanisha ni mtu wa jeshi hili ninaloliongelea, simaanishi kamanda wa wilaya, ninaposema afisa, namaanisha mwenye nyota begani, naongea kwa codes, sitaki kutaja vitu clearly kwa chombo hicho, yaani itabidi nice nakufundisha kama mtoto wa chekechea.
Mbona unakuwa mgumu kuelewa? Unafikiri ninavyosema kamanda namaanisha kamanda wa mkoa au wilaya? Simaanishi hivyo acha uzwazwa nz hii ni mara ya tatu hii nakuolelewesha kijana kichwa chako umekijazz nini?Sasa huoni kama wewe ni kiande ,kuna anayeanza tu na kuwa makanda ..Kama ipo toa ushahidi .. Form four huo ndio uwezo wako wa kufikria .. Narudia tena tunaongelea entry level
Nimekuambia TRA n wewe post tena kumbuka ni entry level usilete drama zako za afisa kamanda🤣🤣🤣unaficha kama hauna hauna .
Nimekuuliza A level ulisoma kombi gani? Tuanzie hapo, au ulifeli form four huelewi maana ya kombi?Sasa huoni kama wewe ni kiande ,kuna anayeanza tu na kuwa makanda ..Kama ipo toa ushahidi .. Form four huo ndio uwezo wako wa kufikria .. Narudia tena tunaongelea entry level
Labda wewe tunaweza tukaelewana, ni hivi mimi binafsi nilikuja hapa baada ya kuona mwamba anapotosha mishahara sasa yeye akabadili gia angani kuwa wanazidiwa mishahara na taasisi zingine na blah blah kibao sasa na hakuna aliyekataa kuwa Jw hawazidiwi mishahara ila lengo kuu hapa ni kwamba jamaa ni mpotoshaji mkubwa siunaona hata hapo kwenye polisi amepotosha kwa hiyo huyu jamaa anaokoteza vyanzo vya hovyo huko mitandaoni.Lakini huyo jamaa hoja yake kuu ni jwtz tu sio police wala prison,
Kwa majeshi jwtz ni kweli wako mbele kuliko mambo ya ndani,
Hiyo annual increment umesema wewe ila serikali iliwaongezea mshahara, yani wewe jamaa kila bandiko la mshahara utakaloleta humu lazima ukutane na kibano maana ni kaongo kaongo sana na uzuri watu humu wanajua na experience na hizo mambo kwa hiyo hudanganyi mtu hapaSasa kipi kimeongeza hapo ni kama annual incremental 🤣🤣🤣ni mule ule acha zako ..Hao wanajeshi wameongezewa kutoka hapo mpaka mil 4.5 kutokana na jamaa yenu hapo juu .
Huyo hata la saba utakuta kafeli, ndomaana kichwa ngumu, yaani hana akili kabisa, atumie hata akili za kukopa basi.Hiyo annual increment umesema wewe ila serikali iliwaongezea mshahara, yani wewe jamaa kila bandiko la mshahara utakaloleta humu lazima ukutane na kibano maana ni kaongo kaongo sana na uzuri watu humu wanajua na experience na hizo mambo kwa hiyo hudanganyi mtu hapa
Pia aliyesema sifiki hapo ni nani? Niquote, unanilisha maneno ktk kila comment yako, kwanza wewe ni muongo usiyetumia akili kudanganya, yaani hata kuku broiler humkamati.SAsa kelele za nn na haufiki hapo , hatuwezi kuongea
Kama hauwezi kujibu kaaa kimya naona kama unajifunza.Mbona unakuwa mgumu kuelewa? Unafikiri ninavyosema kamanda namaanisha kamanda wa mkoa au wilaya? Simaanishi hivyo acha uzwazwa nz hii ni mara ya tatu hii nakuolelewesha kijana kichwa chako umekijazz nini?
Hiyo digrii yako ulisoma chuo gani na ulifauluje?
Narudia tena kwa mara ya tatu, ninaposema kamanda namaanisha ni mfanyakazi wa jeshi ninalolizungumzia na si vinginevyo, ninaposema afisa ni cheo cha nyota begani, sasa mishahara ya TRA niliyokuonyesha screenshot ya 1.2-1.8mil, au hata ile 2.3 uliyoisema wewe, bado hao ninaozungumzia wamekuzidi mbali.
Sema anaanza na ngapi acha kurukia mambo ..Nilibold kabisa maana hamuelewi.Wewe si ndo ulipost nyongeza ya mshahara kutoka milioni moja mpaka milioni tatu? Uliwahi ona wapi nyongeza inajitriple? Yaani nyongeza kwa 300%? Huo ni uongo wa mchana, hoja hiyo hujaijibu mpaka sasa, na huhajibu hoja zangu kama nne hivi unaruka ruka tu na kujibu usivyoulizwa, kunilisha maneno, pamoja na kutoa kashfa