Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Kuhusu suala la mshahara waziri wa mambo ya ndani asingeweza kukubali kuwa ni kweli, kutokana na ukweli kwamba mishahara ya serikali ni Siri.
Waziri alisema wanalipwa sawa, so kama Waziri yupo sahihi na akawa comfortable kumuonyesha document Ester Matiko aje done kuwa wanalipwa sawa, ndomaana nasema Ester Matiko kapotosha, pia kuna mdau pamoja Santa kaona salary slip ya mdogo wake juzi, kasema hizo amount ni za uongo, mdogo wake anapokea nyingi kuliko zilizotajwa hapo.

Bora hata wewe tukiongea u
tunaweza kuelewana, ila hiyo ndugu yako ni kichwa maji kabisa, hata anayoyaongea, yeye mwenyewe hayaelewi.
 
Nitumie hiyo barua ya madeleka
 
Nyota moja mwenye degree wa hayo majeshi ya wizara ya ndani ndo anaondoka na 1.2mil, hapo hujajumlisha posho zingine kama chakula, maji, umeme, kodi, vinywaji. Hakumaanisha wa JW hapana, kwasababu kuna polisi mmoja ana degree na nyota moja, anakunya 1.2mil, so ni sahihi kwa majeshi hayo, ila mwenye nyota(polisi au magereza) ambaye hana degree ndo anakunja 950K kwa mujibu wa Ester Matiko.

Sasa rafiki yako Tanganian kwakuwa akili zake fupi, anafikiri ni JW, yaani hajui kuwa iliyokuwa inazungumziwa ni wizara ya mambo ya ndani na siyo wizara ya ulinzi, hajui hata wizara za nchi yake, ndomaana nipo interested kujua alisoma chuo gani na degree ya nini, na alisomaje, alipata zero form four akarisiti, akaunga unga certificate mpaka akaja open University au alipitaje pitaje.
Tafuta barua ya kupandishwa cheo ya advocate Madeleka, ilionesha kuwa kwa cheo cha inspector scale yake ni 990,000/- hadi 1.170m bar
 
Waziri alisema wanalipwa sawa, so kama Waziri yupo sahihi na akawa comfortable kumuonyesha document Ester Matiko aje done kuwa wanalipwa sawa, ndomaana nasema Ester Matiko kapotosha, pia kuna mdau pamoja Santa kaona salary slip ya mdogo wake juzi, kasema hizo amount ni za uongo, mdogo wake anapokea nyingi kuliko zilizotajwa hapo.

Bora hata wewe tukiongea u
tunaweza kuelewana, ila hiyo ndugu yako ni kichwa maji kabisa, hata anayoyaongea, yeye mwenyewe hayaelewi.
Kwa taarifa zilizoko ni kwamba kwenye mambo ya ndani, police wanawazidi prison kwa kiasi kama cha 80,000 kwa ngazi ya nyota 1
 
Hoja zangu nne hujajibu

Nimefatilia hii screenshot yako, nimekuta kuwa ni mchango/swali kutoka kwa Mbunge wa Chadema Ester Matiko, akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani pindi akichangia hoja ktk kujadili bajeti ya wizara hiyo, hoja ambayo hats waziri aliyejibu alimwambia aje private ili amuonyeshe mishahara halisi ya Askari hao kwakuwa viwango alivyovitaja siyo sahihi.

Na hao maafisa wa nyota moja anaowataja ni maaskari wa magereza na polisi kwasababu wizara iliyokuwa inajadiliwa ni wizara ya mambo ya ndani, JW ipo wizara ya ulinzi.

Unanyofoa screenshot huzifatilii kwasababu ni mvivu kufikri, waziri kapinga upotoshaji uliofanywa na Ester matiko, nakuwekea link ya hiyo YouTube video uone, naomba wote mtazame ili muone huyu jamaa alivyo kichwa maji na muongo, video haifiki hata dakika mbili.

View: https://youtu.be/rqlWHztZfW0?si=bRKAStZX9EeiqEhd

Sasa unatumia ,fanya kujibu swali kwanza!
 
Tanganian Njoo ujibu upotoshaji uliouweka, mimi huwa natoa facts na siyo malalamiko kama wewe. Hoja za mbunge za uongo ambazo kapingwa na waziri, ndo unatuletea hapa kama sehemu ya kutetea hoja zako, hivi hiyo degree yako umeiokota jalalalani au ni digrii ya chupi?

Nina uhakika degree nilizonayo mimi wewe huna kichwa cha kuzisoma.
Facts zipi haujajibu swali hata moja 🤣🤣
 
Nyota moja mwenye degree wa hayo majeshi ya wizara ya ndani ndo anaondoka na 1.2mil, hapo hujajumlisha posho zingine kama chakula, maji, umeme, kodi, vinywaji. Hakumaanisha wa JW hapana, kwasababu kuna polisi mmoja ana degree na nyota moja, anakunya 1.2mil, so ni sahihi kwa majeshi hayo, ila mwenye nyota(polisi au magereza) ambaye hana degree ndo anakunja 950K kwa mujibu wa Ester Matiko.

Sasa rafiki yako Tanganian kwakuwa akili zake fupi, anafikiri ni JW, yaani hajui kuwa iliyokuwa inazungumziwa ni wizara ya mambo ya ndani na siyo wizara ya ulinzi, hajui hata wizara za nchi yake, ndomaana nipo interested kujua alisoma chuo gani na degree ya nini, na alisomaje, alipata zero form four akarisiti, akaunga unga certificate mpaka akaja open University au alipitaje pitaje.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyote mnakula hiyo labda TANAPA ,wewe hauwezi kushindana na mimi utapata aibu ya milele...Hauwezi kujibu swali langu hata moja ..Hiyo ndio tofauti ya wewe (Form four) na mimi (Degree)

NImebold kwa entry level sijui kama unaelewa?

We jamaa ushatupa taulo ,hamna maendeleo maana unakuja kumtaja afisa kamanda wa nn tena ? Hiyo ni entry level?
 
We unajielewa kweli mbona unakuwa kama una degree ya chupi? Nafafanua hii kwa mara ya nne, kuwa niliposema afisa kamanda, sikumaanisha kamanda wa mkoa au wilaya, nilimaanisha ni mwanajeshi wa JW mwenye nyota ambayo ndo entry level unayoipigia kelele kila saa, ambacho huelewi ni nini? Na hiyo entry level nilishasema tangu zamani kuwa sitaji, taasisi hii kwa usiri inaheshimika, siyo kama taasisi zingine zinazosambaza taarifa zao mitandaoni. Kwahiyo hiyo hoja ya entry level nilishaijibu zamani ila kwakuwa wewe ni kichwa panzi, ndomaana huelewi.

Lakini wewe ndo hujajibu hoja zangu mpaka sasa ambazo ni hizi.

1)inakuwaje mshahara upande kutoka 1mil mpaka 3mil, yaani ongezeko la 300%, mshahara unajitriple, ni ongezeko gani hilo?

2) kwanini mwanzoni afisa forodha na afisa forodha msaidizi(vyeo tofauti) walikuwa wanalipwa mshahara sawa yaani milioni moja?

3) kwanini umetaja mishahara mitatu mpaka sasa, milioni 3, mara milioni 2.3, mara milioni 4.5, tushike lipi? Hujioni jinsi ulivyokuwa muongo?

4) screenshot nilizoonyesha mshahara wa afisa wa TRA ni 1.2mil mpaka 1.8mil mbona umepiga kimya hujajibu?

5) umetoa screenshot kuwa maafisa wa nyota wa JW wana 1.2mil, nikakuonyesha ushahidi kuwa hiyo ilikuwa ni majeshi ya wizara ya mambo ya ndani ambapo JW hawapo huko, mbona hujajibu mpaka sasa?

6) nimekuuliza umesoma masomo gani A level na una degree ya nini, mbona hujibu?

Kati ya mimi na wewe nani hajibu hoja za mwenzie?

Ukija tena jibu hoja zote sita bila kuruka ruka.
 
Sasa ndugu yangu mshahara wa 2017 utakuwa ni ule ule bila kupanda mpaka mwaka 2023 ambapo ndo mwaka Ester Matiko anamhoji waziri? Si ndomaana waziri akasema amuone pembeni amuonyeshe uhalisia wa figure kwasababu viwango alivyotaja si sahihi kutokana na kutaja viwango vya zamani vilivyopitwa na wakati?

Na kuna mdau amesema hapo juzi juzi kaona salary slip ya mdogo wake akasema anapokea zaidi ya hiyo mnayopost mitandaoni? Mbona hata ukitumia akili za kuzaliwa tu hoja yangu ina mashiko?
 
Attachments

  • Screenshot_20250430_235146_Chrome.jpg
    Screenshot_20250430_235146_Chrome.jpg
    180 KB · Views: 18
Soma hiyo, ni barua ya Peter Madeleka ya kuacha kazi mwaka 2016, kwa cheo cha Inspector wa polisi, mbona hakuna mahala kaweka hicho kiwango cha mshahara unachokisema?

Hebu nitafutie hiyo yenye kiwango unionyeshe.
 
Sasa ndugu yangu mshahara wa 2017 utakuwa ni ule ule bila kupanda mpaka mwaka 2023 ambapo ndo mwaka Ester Matiko anamhoji waziri? Si ndomaana waziri akasema amuone pembeni amuonyeshe uhalisia wa figure kwasababu viwango alivyotaja si sahihi kutokana na kutaja viwango vya zamani vilivyopitwa na wakati?

Na kuna mdau amesema hapo juzi juzi kaona salary slip ya mdogo wake akasema anapokea zaidi ya hiyo mnayopost mitandaoni? Mbona hata ukitumia akili za kuzaliwa tu hoja yangu ina mashiko?
-unafikiri mishahara kwenye Utumishi wa umma imepanda sana tangu 2016? nyongeza haizidi laki 1, na ndio maana nilikwambia kuwa hao maofisa waliongezwa 80elfu kwa 90 elfu
 
Soma hiyo, ni barua ya Peter Madeleka ya kuacha kazi mwaka 2016, kwa cheo cha Inspector wa polisi, mbona hakuna mahala kaweka hicho kiwango cha mshahara unachokisema?

Hebu nitafutie hiyo yenye kiwango unionyeshe.
Iko nyingine aliipost Twitter🐦🐦
 
-unafikiri mishahara kwenye Utumishi wa umma imepanda sana tangu 2016? nyongeza haizidi laki 1, na ndio maana nilikwambia kuwa hao maofisa waliongezwa 80elfu kwa 90 elfu
Unafikiri vyombo vya ulinzi na usalama vikiongezea watu wake mishahara hata kama ni kila mwaka, Unafikiri wanatangaza kama walivyotangaza kwa watumishi wa umma wa kawaida mwaka 2022?
 
We unajielewa kweli mbona unakuwa kama una degree ya chupi? Nafafanua hii kwa mara ya nne, kuwa niliposema afisa kamanda, sikumaanisha kamanda wa mkoa au wilaya, nilimaanisha ni mwanajeshi wa JW mwenye nyota ambayo ndo entry level unayoipigia kelele kila saa, ambacho huelewi ni nini? Na hiyo entry level nilishasema tangu zamani kuwa sitaji, taasisi hii kwa usiri inaheshimika, siyo kama taasisi zingine zinazosambaza taarifa zao mitandaoni. Kwahiyo hiyo hoja ya entry level nilishaijibu zamani ila kwakuwa wewe ni kichwa panzi, ndomaana huelewi.

Lakini wewe ndo hujajibu hoja zangu mpaka sasa ambazo ni hizi.

1)inakuwaje mshahara upande kutoka 1mil mpaka 3mil, yaani ongezeko la 300%, mshahara unajitriple, ni ongezeko gani hilo?

2) kwanini mwanzoni afisa forodha na afisa forodha msaidizi(vyeo tofauti) walikuwa wanalipwa mshahara sawa yaani milioni moja?

3) kwanini umetaja mishahara mitatu mpaka sasa, milioni 3, mara milioni 2.3, mara milioni 4.5, tushike lipi? Hujioni jinsi ulivyokuwa muongo?

4) screenshot nilizoonyesha mshahara wa afisa wa TRA ni 1.2mil mpaka 1.8mil mbona umepiga kimya hujajibu?

5) umetoa screenshot kuwa maafisa wa nyota wa JW wana 1.2mil, nikakuonyesha ushahidi kuwa hiyo ilikuwa ni majeshi ya wizara ya mambo ya ndani ambapo JW hawapo huko, mbona hujajibu mpaka sasa?

6) nimekuuliza umesoma masomo gani A level na una degree ya nini, mbona hujibu?

Kati ya mimi na wewe nani hajibu hoja za mwenzie?

Ukija tena jibu hoja zote sita bila kuruka ruka.
Punguza maneno mengi kama unataka kukopa , hauwezi kujibu swali langu hata moja ..Endelea kubwabwanya , Form four.
 
Unafikiri vyombo vya ulinzi na usalama vikiongezea watu wake mishahara hata kama ni kila mwaka, Unafikiri wanatangaza kama walivyotangaza kwa watumishi wa umma wa kawaida mwaka 2022?
Hakuna ongezeko, kwenye police, prison, immigration, fire ni hizo elfu 80,90 ndio zilizoongezeka since 2016, kadhalika kada nyingine za kiraia ongezeko halizidi elfu 90,
Isipokuwa posho za kazi maalum, extra duty, per diem hizo ni kweli zilipandishwa tangu 2022
 
Back
Top Bottom