pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Hahaha! Haya bhana.
Constable au shati tupu mwenye digrii ya kawaida analipwa laki 915+hiyo ni kwa other degree maana kule kuna makundi ma3 ya degree.
Constable wa IT analipwa 1.2m
Constable yeyote mwenye Degree yoyote ya afya ni 1.5m.
Sasa dogo yeye wakati wa kusaini mshahara alisaini huo 915 na Kuna professional allowance hapo kwa hiyo tunaposema mshahara ulishabadilika tuelewane na usingekuwa haujabadilika asingesaini hiyo hela.
Kumbuka ni hana cheo chochote