Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Ulianza mambo ya afisa kamanda ,we bado mshamba na Form four yako.Entry level nilishajibu kuwa sitaji, taasisi zingine zina usiri siyo za hovyo hovyo kama ulizozoea. Nimejibu nadhani ni mara ya tatu, nawewe jibu hoja zangu sita uache uzwazwa, mmenishambulia watu kadhaa mimi nipo mmoja mmenishindwa, na dalili ya kuwa mmeshindwa, badala ya kujibu hoja za msingi mnaniattack mimi personally